Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 4,012
- 6,819
Kuna wakati katika safari ya mafanikio huwa tunajiuliza ni kwa nini tunakwama.Ni kwa nini hatupati promosheni/nyongeza ya mshahara au ni kwa nini bidhaa au huduma zetu haziuziki kwa kiwango tunachotaka.
Moja kati ya changamoto ambazo huwakumba watu wengi katika maisha yao inahusiana na uwezo wao wa kujieleza na kuwasilisha jambo kwa mtu au watu wengine na kuwashawishi ili wakubaliane na mtazamo wake.Pamoja na umuhimu wa eneo hili bado mkazo haujawekwa katika mfumo wetu wa malezi na kielimu katika kuhakikisha kwamba watoto wetu wanakuwa na uwezo wa kujieleza na kuelezea kile ambacho wanataka kusema na kukitetea.
Public speaking and Presentation SKills Program ni Program maalum ya mafunzo ambayo hutolewa kwa Mtu mmoja Binafsi au kwa makundi ya watu na ambayo hutolewa kwa mfumo wa Digital learn pamoja na darasa la uso kwa uso ambapo mshiriki atajengewa uwezo wa kuandaa na kufanya Presentation kwa makundi madogo,ya kati na makubwa na kukuongezea uwezo wa kuwa na ushawishi na mvuto.
Iwapo ungependa kuwa sehemu ya Darasa hili tafadhali wasiliana nasi kwa simu namba 0710323060 au Email:masokotz@yahoo.com
Walimu ni wazoefu na watakupa ujuzi wa kipekee na wa kisasa wa kuweza kuwa na ushawishi na kujieleza
karibuni Sana.