zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Hivi mkuu hizi takwimu ni sahihi kweli?Nashindwa kuamini!Mkuu tupe source ya data zako.Kama ni kweli hi ni kashifa na aibu kubwa kwa Jk.Nini kinaweza kuhalalisha ubadhirifu huu wa fedha za umma kwa safari zisizo na uthibiti.kama Nimekosea hapo mtanisahihisha.
Rais Barack Obama,amekaa ikulu kwake miaka 4,Amesafiri safari 32,
Hayati Baba wa taifa,amekaa ikulu miaka 25,amesafiri safari 68.
Rais Wa Sasa wa Tz(Dk Jk),ikulu miaka 7,safari 392..
Je hizo safari huwa zinatija kwa Taifa?
Mkuu hizi ni za nje ya nchi tu.Hizo safari za JK ni pamoja na zile za Kwenda Mtwara na Lindi ndiyo maana zimekuwa nyingi kuliko za Obama.