Miguu huliwa wewe, si unapata supu na makongoro swafiiiii.
kilo ngapi i see?Hebu mpimie kwanza hapa....
![]()
nshawahi kuisikia mahali hii!"When preparing the dog for food, it is said that the fur may be burned off with a blowtorch, often while the animal is still alive. Many dogs are subjected to a cruel, slow death due to the superstitious belief that the more the animal suffers, the better the meat tastes."
si ndio nimekwambia tuifaute mtani wangu!"Dog meat dealers also exploit the myth that eating dogs increases male virility. Over two million dogs are killed yearly on the basis of this widespread belief."
snowhite tafwazali soma hiyo maneno hapo juu ....
nshawahi kuisikia mahali hii!
lol
sasa mtani hii kitu inapatikana wapi bana!
mradi wasiweke hicho kichwa tuu!nataka mguu wa kushoto!
mweh uchaga wa kurithi huu utanitokea puani!kupenda gani nyama huku lol!
cc Nicas Mtei
si ndio nimekwambia tuifaute mtani wangu!
nani hataki kuwa na mapafu ya mbwa!lol!
hebu isake uniambie bana ! i hope ikichomwa ndo tamu zaidi!kwa ajili ya hapo kwenye red hapo ntakuwa namchemshia!
Hapa mjini inapatikana lakini kwa oda...mie nina friends wa Kichina na Kikorea ndio huwa once in a while huwa tunaenda kukamua huyo mdudu kwenye restaurants zao...
Supu yake ndio nzuri zaidi, unaipiga masaa kadhaa kabla ya MTANANGE...hicho kisusumbe chake kesho yake inabidi fundi seremala aitwe kurekebisha skruu za kitanda..
hakyanani unipeleke!
kichwa sitaki lakini!
unataka kuongeza nguvu za kitu gani wewe dada? labda ule supu ya paka lolah mi kwa kweli naitaka,naitaka kweli ujue!na lazima mtani wangu anipeleke!
unataka kuongeza nguvu za kitu gani wewe dada? labda ule supu ya paka lol