Kama una uwezo anzia wordpress moja kwa moja.wakuu poleni n majukumu.
wataalaamu kama kawaida tusaidiane hapa wenye uzoefu, hivi ni bora ukatumia premium template ya blogger then ukatumia na custom domain au uhamie tu moja kwa moja wordpress which is better?