Premio au allion?

Prince Akeem

JF-Expert Member
May 26, 2013
884
375
Wakuu natafuta premiot nahitaji ushauri

Na mtu aniambie tofauti kati ya premio 2004,2005 na 2006.

Naomba pia mtu aniambie upi mtandao mzuri naweza pata premio nyingi hasa dark blue gray au black
 
chukua allion mkuu kwanza ina body kubwa ,pili spare c ghali sana ,tatu kwenye mafuta ndo usiseme mkuu ata vitz aitiii mguu inakula mafuta kidogo sana ,nne inakimbia sana mkuu utafikr injin yake ya v8 kumbe ya kawaida kama pesa ipo isiache hyo machine
 
Kwa sasa Premior ni mbadala wa allion hata kwenye bei sokoni premior iko juu kidogo kwasababu.
allion kwanza iko chini
pili Premior iko stable zaidi barabarani na inakimbia mno

Mafuta sijajua Allion ina cc ngapi ila premior ni 1790cc so
premior 500km unatumia mafuta ltr 36 hadi 40

Binafsi napenda premior ba kama unahela nunua premior.

Pia watumie befoward wanamagari mengi sana halafu bei nafuu na uhakika wa kupata gari ni mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
allion lita moja inakimbza mpaka km 24 mkuu pili allion ina cc 1500 kwa maana hyo premio iko juu tu
 
We nunua unayoipenda

Don't tress urself with knowing all answers to every question. Don't worry nobody will be clever enough to ask you
 
kwangu mimi naona premio ni more preffarable kuliko allion,
kuhusu swala la mafuta allion na premio zote zina cc zinazo range toka 1500-2000,
but premio is more luxurious, i think ukiwa unachagua gari uwe una google na reviews zake it is more helpful
 
Back
Top Bottom