Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,026
Unaulizwa A unajibu B sasa unajua kuwa hana nyumba? Au unajua kila mtu yupo kama wewe?
Unaulizwa A unajibu B sasa unajua kuwa hana nyumba? Au unajua kila mtu yupo kama wewe?
Yaani washamba kweli kweli. Hawapendi watu wawe na maendeleo. Unataka yeye alivyopitia a,b,c,d na mwenzie aanze hivo hivoKuna watu ni washamba sana wanafikiri wote waenende kimaisha kama wanavyowaza wao
Nimekupata mkuu