Precission yatoa ajira endelevu

Precission yatoa ajira endelevu

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
Hongereni menejiment ya PRECISSION AIR kwa kutoa ajira endelevu kwa vijana mbalimbalai ambao badhi yao wamekuwa wakinyanyasika zaidi ya miaka kadhaa kwenye baadhi ya makampuni.......,wakiongea kwa nyakati tofauti baadhi ya vijana waliopata ajira kwenye kampuni upande wa AIRPORT wameshukuru kwa kutolewa kwenye kilindi cha matatizo...unajua ndugu mwandishi tumekuwa tukitumikia baadhi ya makampuni bila hata kuheshimiwa...sasa nahsi wataanza kutuheshimu na wengine wanashindwa hata kutujibu tukiwasalimia...uwezi kuwa mtumwa wa milele ...tunashukuru precission kwa kuona umuhimu wetu......tunawatakia kheri na maisha mema
sisi kama wafanyakazi tunawatangazia tumeamua kufa kidondani kuhakikisa PRECISSION AIR iko juu....namnukuu mmoja wa binti aliefuarahia ajira mpya
 
Back
Top Bottom