Precission air na hisa zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precission air na hisa zao

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kukumdogo, Dec 2, 2011.

 1. kukumdogo

  kukumdogo JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 687
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 80
  Ile kampuni ya kikenya iliyofikiri ingeweza kuiua kampuni ya ndege ya watanzania hatimae hisa zake zimegoma kuuzika. Hii ni kwasababu watanzania makini wameshtukia madeni makubwa waliyokuwanayo na kulidanganya taifa kwamba wanatengeneza faida.

  Sasa kampuni ya kitanzania inanyanyuka japokuwa walipitisha hongo nyingi sana kwa baadhi ya wakuu wa magamba kama bomani ili waseme kampuni ya watanzania ifungwe.

  Tatito la kampuni ilikuwa ni utawala wa wezi wakishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa wizara kama chambo. Sasa kampuni inanyanyuka ila kwa upenda wa watanzania hatuna haja ya kuwaangamiza wenzetu ila tutawasaidia ili ajira ziongezeke tanzania. Wakiendelea kuwaajiri wakenya itabidi tulioe soko lao kabisa na kuiondoa kampuni hiyo ya kikenya kwenya anga la tanzania.
   
 2. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  vipi mkuu, ulisoma Prospectus yao au umeamua kusema uliyonayo kichwani?. Maana naona kama umeamua kuwashambulia!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mleta mada hajui kitu kuhusiana na hisa za PW!
  Taarifa zako ni ngeni na hazina uthibitisho wowote!
  Ni kaMpuni gani ya Ndege ya Watanzania ambayo iko hai as of now?...unaongelea ATCL?...POLE!

  Akili zako zinakutuma kwamba Hisa za PW zimegoma kuuzika? ...Ulipata kwenda kwenye madirisha ya Benki mbalimbali kabla ya closing dates ukaona songombingo iliyokuwepo?

  Suala la PW kuwa na madeni kwa Mtazamo wangu ni la kawaida kwa kampuni yoyote, na ndiyo maana wanadeclare balance sheet na cash flow statements zao kwenye Prospectus hadharani kabisa!

  Acha kuongea kwa uswahili, wasiliana na wahusika ujue taarifa za kiufundi!
   
 4. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mwekezaji makini hawezi kuwekeza PW, at least not for the next five years. Suala la watu kukimbilia hisa za PW si la ajabu maana hata DECI watu waliambiwa lakini hawakusukia na walikuwa wanapanga foleni kuanzia usiku wa manane and we all know how it ended.
   
 5. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  PW ni ya Kikenya? au inaubia na Kenya airways?

  Sio mtaalamu wa uchumi na biashara ya mashirika ya ndege lakini akili yangu inanituma sio sawa kuikashifu PW kwa kuilinganisha na ATCL at least for now. Nini kinakupa kiburi kwa ATCL, ile dash 8 moja? Mbona bado safari ndefu aisee hadi hilo shirika lisimame kabisa.

  Na kama mtaendelea na huo mtindo wenu wa kukodi ndege na kununua magari kwa hesabu za kifisadi sahau kama shirika litasimama
   
 6. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  jamani naomba mnisaidie na mimi nimenunua hisa za precion ila sijui inakuwaje faida maana nasikia mara hisa zao hazijauzika mara haijasismama au inakuwaje nataka kuuza hizo hisa walau nirudishe hela yangu.
   
 7. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Vuta sibira na wala usiwe na shaka yeyote, kwani mtoa mada hajaweka statistical facts ili ku support kile alichokiandika.
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Financial statements for all three years were restated; what does it mean?
   
 9. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Huo ushabiki wa ATCL ni wa mapema mno kwa hako kandege kamoja ambako naamini hata hivi hakatafaulu kusupport matumizi makubwa ya waajiriwa weeengi waliopo. Pia jee kilichoua ATC ya awali kimeondoka?
   
 10. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Uliponunua hizo hisa ulikuwa na malengo gan?

  You can make money in two ways:
  1. From the annual dividend assuming that the company performs well and makes a profit
  2. From capital appreciation (This might take some time for the market price of the shares to appreciate)
  Kama nia yako ilikuwa ni kupata pesa kila mwaka kwa njia ya dividend basi sidhani kama nia yako itatimia maana kulingana na madeni ya PW sidhani kama watalipa dividend ya maana. (Angalia FS zao and ask your self if they have paid any dividends in the last 5 years)
  Kama nia yako ilikuwa ni capital appreciation then you might hold those shares for some years for the company to perform well and the value of the shares to appreciate so that you can sell them and make a profit.

  Investing in shares sio kitu cha kurukia tu. You have to seek professional advice kabla ya kuamua kuwekeza. Kwa Tanzania watu wamegeuza kuwekeza kwenye shares kama fashion bila ya kufanya analysis yoyote.
   
 11. k

  kalakata Member

  #11
  Dec 3, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani mkuu umenunua gunia lililojaa alafu baadaye ndio unauliza kuna bidhaa gan humo ndan! Just some other day inatakiwa kujua kitu ndio ufanye maamuzi
  Usikimbilie tu kwa kuiga utakuja humia bure!!
   
 12. k

  kalakata Member

  #12
  Dec 3, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani mkuu umenunua gunia lililojaa alafu baadaye ndio unauliza kuna bidhaa gan humo ndan! Just some other day inatakiwa kujua kitu ndio ufanye maamuzi
  Usikimbilie tu kwa kuiga utakuja humia bure!!
   
 13. kukumdogo

  kukumdogo JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 687
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 80
  Je mnahabari kwamba pw imeondolewa kwenye soko la hiza za dar? Kama hamjui habari ndo hiyo. Kama ingekuwa makini isinge ondolewa dse.
   
Loading...