Precision yaanza vibaya south Africa

vito

Member
Jul 29, 2011
28
8
Ndege ya precision ilionza safari zake za south africa tarehe 24 mwezi uliopita inaonekana kurithi mtindo wa ATC wa kuhahirisha safari bila kujali mazara kwa wateja wao.Tangu jumamosi na jana abiria tumerundikana hapa or Tambo huku management yao ikiwa haina uhakika wakitoa sababu mbili tofauti kuwa jumamosi ndege ilishindwa kuondoka kwa tatizo la runway dar essalaam na jumapili ndege ilikuwa na itilafu.Jamani hata kama ni uzalendo tutafika kweli?
 

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
5,535
4,860
Hakuna kitu naogopa kama kuambiwa ndege ina hitilafu...mara nyingi huwa nahairisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom