Precision air yakwama Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precision air yakwama Mwanza

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Tusker Bariiiidi, Nov 13, 2009.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Pamoja na kuweka lugha nzuri katika Website yao...

  Precisionair is successfully networking the entire region with our unique combination of speed, convenience and reliability for both tourists and business travelers. Remember, we have an over 98% on-time performance record which means we are always on schedule.


  Mimi nipo Mwalimu Nyerere International Airport kwa masaa matatu nikisubiri wageni wangu wanaotokea Mwanza na Flight PW 413 BOEING 737…
  Mbaya zaidi saa saba na nusu waliwatangazia kuwa wanarekebisha kwa dakika 25 lakini sasa ni almost masaa matatu bado wanasubiria bila ya kuambiwa lolote....
   
 2. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  That's horrible man, I hat that.. why not tell the truth?????????? if is not working be open tell customers.
   
 3. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2009
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hawa ni wapuuzi sana, Mwezi April tulishawahi subiri ndege masaa nane (8) JNIA,ndege Dar-Shinyanga iliyokuwa iondoke saa moja asubuhi walicancel kwa sababu za ajabu sijui haikuwa na abiria wa kutosha, mwanzo walidai in fault watwambia tusibiri mpaka saa nane. Na kibaya zaidi badala ya kutupeleka Shinyanga wakatupeleka Mwanza na hata tofauti ya nauli hawakuturudishia. Hii Air Zara iliyoanza kuoperate Mwanza-Dar wakiwa imara watachukua soko la Precision
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0

  mamaaa! Unacheleweshwa! Baadae kunapelekwa safari siyo (shy-mza), hakyamungu tusingemaliza rahisi hivo!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  masaa matatu tu ni issue kubwa ya kuleta kwenye forum? wangefuta safari ingekuwa habari kuu kwenye prime time news?
   
 6. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  hata ulaya hutokea
   
 7. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Ndio ni Issue... Mimi nimekaa Mpaka saa 12 airport cio issue... Haya wame-cancel mpaka kesho abiria wote wapo La Kairo Hotel sio Issue... niambie Cynic...
   
 8. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,170
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Shi!ts happen eee! Kulikowapande dege bovu bora wa-delay na kupanda dege zima. Ishawahi nitokea na KEnya airways, 8hrs delay. Hata KLM pia, 4hrs delay. Bora usalama wako kuliko uwahi halaf uwe marehemu katikati ya safari!
   
 9. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  biashara imewashinda!
   
 10. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Ni kweli yanatokea lakini jambo muhimu ni wafanyakazi wa Precision hawakumbuki kuwasiliana na abiria.
  Kwa mfano huwa wanaandika kwenye ticket zao pale Dar kuwa ufike airport check in time 14:00hrs unafika pale saa saba na nusu unasimama pale mpaka saa tisa hata huoni bango lao Precision ku-check in.
  Hata anayekuja kuzungumza na abiria kuwaeleza kinachoendelea. Zaidi ya hapo pale checking in area hakuna viti wala mazingira ya kupumzikia abiria. Aibu, aibu kubwa.
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,770
  Trophy Points: 280
  jamani haya mambo ni ya kawaida ni tatizo la "COMMUNICATION" na tatizo hili si tatizo la AIRLINE ni tatizo la kampuni ya swissport hawa ndio wanaotangaza dly imefikia wapi...sasa basi kama wahusika wanahangaika kurekebisha incase ya technical prblm hawa ndio wenye majukumu ya kuwafwata na kuwauliza jamani dk 25mmlizosema zimeisha tutangaze ngapi...kama awajaenda ndio maana mnakuta abiri analalamika kachuniwa no ni majukumu ya swissport kutangaza dly tym....

  Kuhusu swala la kuchelewa kwanza shukuru Mungu wako
  ni bora uchelewe kwa ndege za tanzania kuliko uwahi usifike ndugu....historia inaonyesha wale marubani waliojifanya kuwahi huku ndege wakijua ina technical prblm hivi sasa wako mbele za haki wakisubiri hukumu na abiria wao...sasa ni mapema hili kutokea ......swala moja nililoliona pale airport ni kwamba airline nyingi hazina kitengo cha emergency ....nikimaanisha ikitokea tatizo lolote kunatakiwa watu special wawe answerable kwa abiria....wao ndio wanaokuwa wakipeleka taarifa kwa swissport incase wakiwa busy...hili halipo ndio maana utakuta ikitokea dly yoyote rubani anatoa taarifa ,mara security anatumwa kupeleka taarifa...mara mpika chai unakuta hata walichotumwa sihaba kusema dly dk 30 waka taja 1hr.....tuwe na kitengo kinachojali abiria wakati kama huu....
  Nanyie abiria labda tuelezane ukweli ni vizuri ikitokea tatizo kama hili tutafute kwanza suluhisho badala ya kuanza kutukana ...lawama,,,naeleza kutokana na ukweli halisi kinachofanya watu wa airline wanwakimbia kipindi cha dly ni lugha chafu hata kama kuna tatizo la technical anatumwa mtu wa airline mnaanza kumshambulia hata kabla ajaanza kujibu....mnafikiri kuna atakaesogea...tena wanasema waacheni watarudi wenyewe
   
 12. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,655
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  Hiyo si big deal..hata Ulaya na US ni hivyohivyo
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,770
  Trophy Points: 280
  lingine ni swala la kukimbilia kutaka chakula kama hamjala kwenu
  Kuna kipindi unaweza shangaa Ndege wanatangaziwa abiria jamani kutokana na tatizo hili kutakuwa na dly ya dk 40/ ama lisaa limoja.....weeeeeeeeeee watu wanaanza kupiga kelele oooohhhh tupelekwe flamingo tukanywe chai tumeamka asbh na mapema ...kwani airline ndio ilikuamsha kitandani si menyewe jamani...halafu huyo anaetaka chai lisaa limoja anaruka masaa mawili na kupata scons moja na chai moja basi na anatua bila kulalamika....sheria inasema kugawa chakula/chai ni iwapo kuna dly zaidi ya masaa mawili tena hapo wasipowapa mnapiga simu TCAA kabisa na hiyo ndege yawezekana hata isiruke kwa moto utakaofwatia......poleni ushauri wangu msipende kuwahi mapema na kutegeemea chakula cha kwenye ndege......
  Pili ni labda hatujui tu yale mascons kwa ushauri tusiwape watoto wadogo yale mikate inakaa zaidi hata ya wk 2 kwenye fridge ikipata mkunaji wanawaletea kwa mtu mzima sawa ila kwa wadogo zangu wadogo nashauri tusipende sana nunua ascons za bakhresa 2 ingia nazo mpe mtoto we kula maboflo yale .......polen sana narudia tena polen Ndege nyingi za tanzania azifanyiwi maintanance on tym ndugu
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,770
  Trophy Points: 280
  unakuta ma engineer wamelala siku nzima wameandikiwa tatizo tokajana usiku wanadamka lisaa limoja na nusu kabla ya ndege kuondoka warekebishe nani kwakwambia...hapa ndipo tatzio linapoanzia.....lingine usimamizi wa hawa ma engineer unakuta engineer yupo kazini anapewa kazi ya kurekebisha wanaishia kkimbizana na malaya pale njia panda na mwisho wakirudi wanajisahau kwamba waliachiwa kazi ya kufnya na ndege inaondoka asbh...hili ni jambo la hatari sana na ndio maana inafikia ikitokea hivyo wanashika shika ndege ikipanda angani hata dodoma aifiki shida zimerudi palepale inabidi wapelekwe tena labda mwanza kazi kweli kweli......

  Kila mtu afanye kazi kwa juhudi sehemu ya kazi yake...ushauri
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,770
  Trophy Points: 280

  mkulu hili ndilo tatizo linayoyakumba makampuni mengi sana sana...NO COMMUNICATION WITH PAX INCASE OF EMERGENCY....kuna info abiria hatakiwi kujua lakini zile muhimu anazotakiwa ni vizuri afahamishwe sasa basi kutokana na hakuna mwongozo unakuta wanashindana nenda wewe nenda wewe nenda wewe wanafikia tamati ya kumtuma MLINZI aje kutoa taarifa....very sad
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,770
  Trophy Points: 280
  Zaidi ya hapo pale checking in area hakuna viti wala mazingira ya kupumzikia abiria. Aibu, aibu kubwa.  hili wasiliana na watu wa uwanjani TAA hawa ndio wenye mamlaka ya kuweka viti na chcochote kinachoitajika kwa abiria...natumaini bosi wa TAA ameliona na atalifanyia kazi.....lingine mliloshindwa kulisema labda la aibu uwanja wetu jamaniVYOO vyake ni vichafu...narudia vichafu kabisa unakuta msafiri anaenda arusha suruali aikaliki anafika kule chini maji machafu yametapakaa ...kucheki TOILET PAPER JAMANI HAZIPO...ALAFU UNAKKUTANA NA WAFANYAKAZI WANAPELEKA TOILET PAPER NYUMBANI HUU NI UENDAWAZIMU...ULE UWANJA LZIMA WAWE MAKINI KATIKA KUWAPA WATU TENDA ZA USAFI VINGINEVYO KIPINDU PUNDUA KIKIJA NAHISI MAUMIVU...................ALHAMSIKI
   
 17. M

  Magezi JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Big-up precision air......angalau mnajitahidi kuwahudumia watanzania kuliko ATCL ambayo ni marehemu.

  Biashara ya usafiri wa anga ina challenges zake na hasa wakati huu wa uchumi duni. Delay ya ndege kutokana na hitilafu au sababu nyingine wala huwezi kulaumu shirika haraka haraka, je, unataka warushe tu hata kama wananona kuna tatizo?
   
 18. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #18
  Nov 14, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Tatizo hapo ni communication... mpaka walipowaambia abiria waende Hotelini mimi nimeshakaa Airport hadi saa 11 jioni...
   
 19. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Yaahirisha Safari za Kigoma na Tabora kuanzia tarehe 14 Nov. hadi 05 Dec. Soma taarifa yao zaidi hapa chini;
   

  Attached Files:

 20. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Mkuu kama wewe ni frequent flyier bila shaka unajua kuwa Precision Air kwa sasa wanaji handle wenyewe ikiwa ni pamoja na kutangaza chochote kihusucho ndege hiyo pamoja na delays- ina maana wamejivua kupata huduma zozote zile za Swissport na hivyo Swissport hawahusiki na upungufu wowote utokanao na hudumu zote zitolewazo na Precision.Precision ilianza vizuri sana lakini kwa sababu ya tamaa, na huenda siyo wao bali wabia wao KQ( Kenya Airways) kutaka kuchukua biashara kubwa ya usafiri wa anga basi wanajitanua hadi kuingia kwenye none-core business.Bado tutajionea mengi...hili ni dogo tu.
   
Loading...