Jana ndege mpya kubwa aina ya AIR BUS imezinduliwa na kampuni ya Fast Jet yenye uwezo wa kubeba abiria 150-200.
Ni jambo zuri na la kusifiwa sana,sasa tatizo ni nauli kati ya makampuni hayo hapo juu. Precision wanatoza zaidi ya Tsh 350,000 safari ya kwenda Mwanza na Kurudi DAR, Wakati Fast JET ukiwahi kukata ticketi nauli ya kwenda na kurudi ni chini ya Tsh 100,000.
Fast Jet wamezindua safari yao jana na safari rasmi itaanza kesho tarehe 29/11/2012. Kwa tofauti hizo za nauli bishara itakuwaje kwa makampuni hayo? Fast Jet watamudu ushindani au watakuwa kama Community Air Line? Precision ataendelea kupata wateja kama kawaida? Nauli ya mabasi toka Mwz hadi Dar ni Tsh 80,000 kwa kwenda na kurudi na unafika saa nne usiku upande wao kibiashara itakuwaje?
Karibuni wadau tuchanganue changamoto katika technologia ya ya Air Line!lane:
tatizo wengi wetu tunadhani nauli ndicho kigezo pekee lakini tunasahau kuwa hata mabasi mengine yanatoza 35,000 Dar - Mz lakini yanayotoza 70,000 yanajaa haraka kabla ya hayo!Hivi mnaamini kabisa nauli yaweza kuwa 32,000/-?
Mimi yangu macho, nasubiri kusoma hapa comments zenu za kulaumu na kulaani!
Precissionair FOREVER! Mimi ni abiria tu msininange tafadhali!
Inanikumbusha EasyJet na Ryanair huko kwenye nchi za wenzetu, haya ndio mapinduzi ya anga yanayotakiwa
Hivi mnaamini kabisa nauli yaweza kuwa 32,000/-?
Mimi yangu macho, nasubiri kusoma hapa comments zenu za kulaumu na kulaani!
Precissionair FOREVER! Mimi ni abiria tu msininange tafadhali!
Jana ndege mpya kubwa aina ya AIR BUS imezinduliwa na kampuni ya Fast Jet yenye uwezo wa kubeba abiria 150-200.
Ni jambo zuri na la kusifiwa sana,sasa tatizo ni nauli kati ya makampuni hayo hapo juu. Precision wanatoza zaidi ya Tsh 350,000 safari ya kwenda Mwanza na Kurudi DAR, Wakati Fast JET ukiwahi kukata ticketi nauli ya kwenda na kurudi ni chini ya Tsh 100,000.
Fast Jet wamezindua safari yao jana na safari rasmi itaanza kesho tarehe 29/11/2012. Kwa tofauti hizo za nauli bishara itakuwaje kwa makampuni hayo? Fast Jet watamudu ushindani au watakuwa kama Community Air Line? Precision ataendelea kupata wateja kama kawaida? Nauli ya mabasi toka Mwz hadi Dar ni Tsh 80,000 kwa kwenda na kurudi na unafika saa nne usiku upande wao kibiashara itakuwaje?
Karibuni wadau tuchanganue changamoto katika technologia ya ya Air Line!lane:
Kwa safari fupi kama za hapa kwetu inawezekana. Mtu anatoka home kashiba...ananunua maji tu safari nzima lol!Mimi ni mpandaji mzuri sana wa Ryanair na kwa kweli inasaidia sana kwa vile mara nyingi bei zake ni chini kuliko ndege zingine. Hata hivyo ili kupata bei hizo rahisi unatakiwa ku book mapema sana, kuepuka peak seasons au week ends. Vilevile huwezi kuchukua mzigo mzito, hakuna huduma yeyote ya bure ndani ya ndege, kila kitu unatakiwa ununue hadi maji. Hata hivyo ukiweza kuvumilia hayo ni rahisi sana.
Haya ni maoni yako au ukweli wenyewe? Kama ndio ukweli weka basi data!Huwezi kuoperate airbus kwa nauli ya 32k kwenda Mwanza!!!
I guess hiyo 32k ni offer ya ticket chache lets say 10% ya tickets for every flight, Marketing strategy
Ili kuwasaidia kupunguza gharama za uendeshaji, serikali iondoe kodi kwenye mafuta ya ndege kwa kampuni za ndege za ndani.