Precision air...shares now on sale

mseseve

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
511
88
PRECISION AIR:
Shares are now available for sale @ 475 per share
Offer open period ;7th october- 28october 2011
buy yor shares at the following ponts of customer payment:
  • The brokers of DSE
  • All branches of STANBIC BANK
  • All branches of CRDB BANK
 
Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,599
1,816
Thanks for the info mkuu nilijaribu kupita kwenye ofisi zao kuuliza lakini walikuwa hawajui ni Bank gani zitakuwa zinauza

PRECISION AIR:
Shares are now available for sale @ 475 per share
Offer open period ;7th october- 28october 2011
buy yor shares at the following ponts of customer payment:
  • The brokers of DSE
  • All branches of STANBIC BANK
  • All branches of CRDB BANK
 
Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,271
669
Hizi share hazitokuwa na mshiko

what is the performance of Precision air in the market?

Wanaomba 28 billions from the public, Hapa zitakuwa oversubscribed watu watarudishiwa hela zao hii amound ni ndogo
 
Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,623
4,278
Wakuu mimi ni mgeni kwenye mambo kama haya ya kununua shares! naomba mnifafanulie jinsi hizo share zinavyolipa endapo nitataka na mimi kununua asanteni kama mtanitoa mchanga wa machoni.
 
Chenge

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
1,072
375
PRECISION AIR:
Shares are now available for sale @ 475 per share
Offer open period ;7th october- 28october 2011
buy yor shares at the following ponts of customer payment:
  • The brokers of DSE
  • All branches of STANBIC BANK
  • All branches of CRDB BANK

Lazima niombe kununua hisa zisizopungua sh bn 6 maana haka kakampuni naona kanafanya vizuri sana
 
M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Mh. Una vijisenti vingi! Naomba namimi unipunguzie vijisenti kidogo basi niimarishe unfinished projects.

Lazima niombe kununua hisa zisizopungua sh bn 6 maana haka kakampuni naona kanafanya vizuri sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom