Precision Air mmezidi

Precision Air mmezidi

Fighter

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2009
Posts
615
Reaction score
153
Unajua unaamka alfajili kwa ajili ya kuwahi flight ya 7.10am, unahamaki labda umechelewa unaamua kuendesha mwenyewe ukihisi anayekuendesha ajui Kama umechelewa. Unapark haraka unacheckiwa na security haraka. Unafika kwenyekucheckin counter Mara mnaambiwa ndege yenu imepata hitirafu haipo. Na baada ya taarifa hiyo mnabaki mnatazamana na staff wa precision wapita pita tu bila taarifa yoyote. Jamani hawa precision mpaka lini hii?
 
Aliyekwambia ndege ina hitilafu ni nani kama sio staff wa PW?
Besides, snag kwenye ndege ni kawaida tu, kuwa na subra, watawaletea ingine.
 
Mmeletewa chombo mbadala fastjet nyie mnakimbilia huko au ulikuwa unaenda Bukoba?
 
hahaha Fast Jet is more worse.

Ndege gani iko full all the time. Ila nimegundua watanzania wanapenda vitu vya mteremko sana!! Very cheap!
 
Unajua unaamka alfajili kwa ajili ya kuwahi flight ya 7.10am, unahamaki labda umechelewa unaamua kuendesha mwenyewe ukihisi anayekuendesha ajui Kama umechelewa. Unapark haraka unacheckiwa na security haraka. Unafika kwenyekucheckin counter Mara mnaambiwa ndege yenu imepata hitirafu haipo. Na baada ya taarifa hiyo mnabaki mnatazamana na staff wa precision wapita pita tu bila taarifa yoyote. Jamani hawa precision mpaka lini hii?

Una afadhali wewe umeambiwa ndege mbovu.
Mie niliambiwa ndege imejaa, ilhali nina return ticket tangu naondoka Dar jana yake. Nilikuwa najisikia kupigana pale KIA, thanks to mchelewaji mmoja, nikapewa nafasi yake

Si mtumie usafiri wetu wa mabasi kama akina sie, km chache gari inasimama tunachimba dawa kwa raha zetu.......!
 
hahaha Fast Jet is more worse.

Ndege gani iko full all the time. Ila nimegundua watanzania wanapenda vitu vya mteremko sana!! Very cheap!

Dada Caroline kwani ulitaka isijae au watu wanajaa mpaka wengine mnasimama kwenye ndege? ha...ha wewe ulienda huko kwa mteremko ikakakuta nyomi siyo? hiyo ndiyo hali halisi ya watu wengu mahela hamna.
 
Pole sana mkuu,wakati mwingine ni kweli ndege hupata hitilafu na ni muhimu kufanyiwa uchunguzi jambo ambalo ni la kawaida sana katika vyombo hivi.
 
hahaha Fast Jet is more worse.

Ndege gani iko full all the time. Ila nimegundua watanzania wanapenda vitu vya mteremko sana!! Very cheap!

Tatizo sio kupenda mteremko , ni hali halisi ya kipato cha mtanzania . Jiulize kwa nauli za precision ni wangapi wanamudu? Utagundua kuwa ni kundi dogo sana la watu mnaomudu . Kwa kuwa fast jet amekuja na bei ya chini , tutakuwa nae mpaka hapo atakapofanyiwa fitna , na kuondoka .
 
Usafiri wa anga kwa medani za Tanzania sio kama mnavyofikiri wanandugu, kama vipi pandeni mabasi.
 
Unajua unaamka alfajili kwa ajili ya kuwahi flight ya 7.10am, unahamaki labda umechelewa unaamua kuendesha mwenyewe ukihisi anayekuendesha ajui Kama umechelewa. Unapark haraka unacheckiwa na security haraka. Unafika kwenyekucheckin counter Mara mnaambiwa ndege yenu imepata hitirafu haipo. Na baada ya taarifa hiyo mnabaki mnatazamana na staff wa precision wapita pita tu bila taarifa yoyote. Jamani hawa precision mpaka lini hii?

Wameshapigwa bao na FASTJET!!!!!!!!!!!!!
 
hahaha Fast Jet is more worse.

Ndege gani iko full all the time. Ila nimegundua watanzania wanapenda vitu vya mteremko sana!! Very cheap!

ww hupendi????hongera sana,jf ingekua ya kulipia sidhan kama ungekua unabwabwaja hapa
 
hahaha Fast Jet is more worse.

Ndege gani iko full all the time. Ila nimegundua watanzania wanapenda vitu vya mteremko sana!! Very cheap!

Kwan wewe ulitakaje?Watu wengne bhana!Una hera wewe?Mbona mnapenda sana kujishebedua jaman!,expensive wewe utaiweza?Kila kitu ulicho nacho hapo ni very cheap and used.Wewe c mtanzania unasema watz?Shame on u lady!
 
Aliyekwambia ndege ina hitilafu ni nani kama sio staff wa PW?
Besides, snag kwenye ndege ni kawaida tu, kuwa na subra, watawaletea ingine.

PJ ,snag sawa taarifa mapema ni muhim.
 
Back
Top Bottom