Precision air kama kweli! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precision air kama kweli!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Chereko, Nov 26, 2009.

 1. C

  Chereko Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Jul 20, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  The Guardian 26 November
  "Precisionair Ground Handling Services Limited, a ground handling company, has since its inception on November 1 handled 16,009 passengers at Julius Nyerere International Airport (JNIA) and 4,846 at Kilimanjaro International Airport (KIA), bringing to end the monopoly enjoyed by Swissport Company for many years according to the former’s
  General Manager, Elias Moshi.
  Moshi was speaking in an exclusively interview with ‘The Guardian’ at JNIA on Tuesday whereby he lamented on Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA), the regulating body, for subjecting the market to many conditionalities."

  Chereko Comments:
  1. Nilimsindikiza mgeni wangu JNIA, akienda Arusha. Masaa machache baadae akanipigia simu ametua Mwanza eti walikosea wakampandisha ndege ya Mwanza, walikua abiria wanne kama yeye! Elias Moshi angesema wamehudumia abiria 20,000 kwa matatizo mbona haya hakusema? Kama Kweli?
  2. Civil Aviation Authority ni mojawapo ya taasisi bomba sana zinazofuata taratibu haikuogopa kusimamisha Air Tanzania wakati hawakutimiza masharti ya usalama. Uamuzi wao umezingatia mambo mengi muhimu Bravo TCAA! TCAA hawakubali hongo wanafuata uwazi, haki na ukweli JK ampe tuzo Mkuu wa Mamlaka hiyo.
  “It is a proven trend worldwide for an airline to provide ground handling at its hub, not only to its fleet, but also to airlines in order for travelers to enjoy competitive service rates. Moreover, we are limited to providing ground handling even to our own partner, Kenya Airways,” said Moshi.
  He said the regulator’s decision to limit the number of companies operating in any given airport was not in good taste with free market rules and tenets and in particular the common market rules."

  Chereko comments:
  1. Hapo sijui sana lakini tunategemea hub iwe ya shirika la Taifa yaani kama Air Tanzania kama ilivyo Kenya Airways Nairobi lakini sio Kenya Airways kupitia Precision Handling Company nao kuweka kihub chao Tanzania. Serikali ilione hili la sivyo iiwezeshe Air Tanzania nayo iweke kihub chake Nairobi halafu ngoma droo
  2. Elias anazungumzia kampuni mbili tofauti Precision Handling Company na Precisioair services Ltd. Kama kampuni inayojitegemea na imepewa kutoa huduma daraja la III basi haitakiwi kutoa huduma JNIA inawezekana TCAA haijaliona hili na walione basi na kuweka msimamo - Precisionair wajitolee huduma, precision handling company waende mikoani
  3. Precisionair hawana hadhi ya kutoa huduma hiyo JNIA na KIA kwani hata vifaa hawana bado wanasaidiwa na Swissport. Bila ya Swissport wasingefua dafu.
  "Citing the case of neighbouring Kenya, he said there were more than five companies doing ground handling in any of the country’s big airports.

  Chereko comments
  1. TCAA ilifanya uchambuzi yakinifu ikihusisha wataalam mbalimbali pamoja na wadau wote pamoja na Precionair na mapendekezo ya Tanzania ndiyo hayo kulingana na uwingi wa ndege zinazotua na ukubwa wa viwanja - JNIA na JKIA ni vitu viwili tofauti kwa mapana marefu sana
  "He dismissed as unfounded the regulator’s concept that the company was inexperienced in the handling of other fleets saying “PrecisionAir is a key player in the industry for the last 16 years and have been providing training to Swissport personnel on how to handle our fleet before we were granted permission”.

  Chereko comments:
  1. Sijui kama Precisionair ina training school inayoweza kufundisha Swissport ambayo ina mtandao dunia mzima

  "He said by handling its own fleet, the airline had broken even and was experiencing relief, saving an average of USD29,000 per month it used to pay Swissport for ground power unit when such brand new unit cost USD53,000."

  Chereko comments:
  1. Hayo ni mambo ya kibiashara lakini kama ni kweli basi Precisionair ishushe bei ya tiketi za ndege tuone ukweli uko wapi
  "However, Moshi said that by handling its own fleet, the airline was now a step ahead,vowing to make a difference by improving customer care.
  “For the few days we have been into the market, a high level of honesty has been demonstrated whereby personal effects have been recovered and surrendered by handlers,” he said."

  Chereko comments:
  1. Hapa Elias Moshi anajaribu tufunga kamba kwani si hivi karibuni tu Precision air imefukuza wafanyakazi kibao kwa matatizo ya wizi na badala yake imepora wafanyakazi kibao wenye uzoefu

  "PrecisionAir was established in 1993 as a private charter air transport company operating a five-seater piper Aztec aircraft."

  Chereko comments:
  1. Precisionair inanyea kambi na kumtukana mkunga wakati ana mimba pevu - TCAA ni chombo cha serikali!
   
 2. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haya wajameni
   
 3. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Precisionair inanyea kambi na kumtukana mkunga wakati ana mimba pevu - TCAA ni chombo cha serikali!

  No comment?!!!!!
   
 4. M

  MtuKwao Senior Member

  #4
  Nov 26, 2009
  Joined: Oct 7, 2006
  Messages: 190
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  Honestly It does not fail to amaze me as to why some of us Tanzanians are so negative when a Tanzanian Private company, any private company, shows some success!!!

  Ni utamaduni wa Mtanzania? Ni jinsi tulivyolelewa nafikiri, kwamba kampuni binafsi ni wanyonyaji! Poor we!

  Ukweli ni kwamba lazima tujivunie chochote cha Ki-Tanzania, be it private or public, if successful, because the effect economically is the same, provision of jobs, tax revenues etc. Our experience with public public coops, is a all misery, instead of providing the to the government coffers they go their kunyonya, kama watoto ambao hawakui - ATC, TRL, TTCL etc etc .

  A simple economic lesson:
  It is the private companies that will drive Tanzania forward. If the company is Tanzanian so much the better, since, in addition to giving the precious jobs and taxes to the Treasury for us to use to build public services like building roads, it is likely the profits will be re-invested locally (at home) than repatriated.

  I have said it in this forum and will say again, we just do not have the necessary skills and discipline to run a public company the people of Tanzania can be proud of. Too selfish too. ATCL is a miserable reference case here.

  Kenyans knew better, sold to a valuable KLM and Private sector, retaining just a few shares and, more importantly, the national character. Not that ATCL can emulate this and succeed. The Chinese? May be, but the SAA had interest in seen the demise of ATC. We need to find our the interest this time. I am that pessimistic, but GOD BLESS TANZANIA!.

  But why Chinese? If Precision is being successful, could that success rub into by the way of sharing something? Are looking for something from afar, ignoring a solution nearby?

  Alternatively, lets ask ourselves this - how much has ATC, or TRL, or TTCL given back to the people of Tanzania in form of taxes for all their investments provided to them over all these years? What about TBL, Serengeti, Vodacom, Zain ....? So who is more useful here! Will we be happier if Precision was not Tanzanian?

  Truly, all companies must follow standing rules and regulations, whether local/foreign, public or private. But we need to be more positive and helpful. Being too negative is unhelpful, such attitudes are usually reserved for companies we want to discourage from doing business in our midst.

  Senti zangu mbili!
   
 5. C

  Chereko Member

  #5
  Nov 26, 2009
  Joined: Jul 20, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Mbona unajidharau mwenyewe Mtu Kwao? Wewe si Mtanzania kwa nini usijivune na utanzania wako na kujidhalilisha kama mtu ambaye hana matumaini ya kuweza? Tunaweza tachague watu waliokamilika kuendesha ATCL tuachane na ushikaji tuko nao watu bomba sana nchini angalia TCAA ilivyo bomba (hata unajua hadi leo DRTC ipo na inaendeshwa na mdada?) YES WE CAN
   
 6. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Hivi ni kweli Precision Air wamenyang'anywa zile ATR 3 mpya? Mbona hakuna habari yoyote kwenye magazeti kama Guardian, Daily News na EastAfrican?
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,272
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  mbona wametoa magazetini ndugu wamerudisha lakini wanadai kurejesha nyingine 4 sasa sijui mchwawi wao kawatuma hivyo....
   
 8. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2009
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ATCL kushindana na Swissport kuhudumia abiria viwanja vya ndege?????? Si wajaribu kurusha ndege zao regularly kwanza.

  Hongera Precission Air. Hawa waTz wasiokuwa na chembe ya uzalendo wataendelea kudhani tu ni lazima shirika limilikiwe na Serikali. Sera ya CCM sio kujitoa katika uendeshaji wa mambo ya kibiashara?

  Kama waTz wameingia ubia na shirika la Kenya ili kutoa huduma nzuri angani, naona ni vizuri tuwapongeze hasa wakikua na kuanzia huduma viwanjani.
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,272
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280

  umeona thanks mpwa
  la pili kwa atcl ni ngumu labda waje waarabu ukiletaujinga...unajua wat nexty ndio watasimama...
   
 10. Deshbhakt

  Deshbhakt Senior Member

  #10
  Dec 1, 2009
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  I do not think the issue here is of patriotism..it is simple but affirmative and logic suggestion and or complaints by an aggrieved customer who has castigated all angles of the company.

  I have personally witnessed and heard of several delays and cancellations of Precision Air in the last few months!

  By the Precision Air is not fully Tz, it had sold shares to KQ in order to survive and expand!Thereafter and apart from buying/leasing new planes since last year and guess what,the delays are the same!
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Zote bado zipo, leo hii nimekumbana na 5H-PWC, ambapo ni kati ya zile tatu mpya, tena zenye full-tv ndani!..huh!
   
 12. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Waungwana kwani hamjui kuwa hiyo precision ni Kenya Airways kwa mlango wa nyuma?
   
 13. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,984
  Trophy Points: 280
  Tatizo nini kwani kama uendeshaji wa shirika hauko damuni kama Watanzania! hapa naona maoni mimgi yamekaa kiuadui adui inaelekea watu wengi haswa wapinzani wa bishara hawapendi maendeleo ya Precisionair! Ila kwa taarifa yenu jamaa wanaanza kuruka kuelekea SA na si punde wataanza safari za Ulaya!
   
 14. M

  MtuKwao Senior Member

  #14
  Dec 4, 2009
  Joined: Oct 7, 2006
  Messages: 190
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  Siyo! Nachojua ni kwamba Kenya wana share 49 za Precision na Watanzania share 51. Mbona Kenya Airways wameuza share kwa watu binafsi na KLM?

  Hiyo ndiyo biashara, if works. It never worked for ATCL, ambao nao waliuza share kwa SA. This was the real SA kwa mlango wa nyuma, kwa sababu ambazo zimeonekana. Now they are doing it again with Chinese. It will not work also, kwa sababu zile zile ambazo zimeua mashirika ya umma na TTCL yenyewe. Which is lack of ownership, by Tanzanians of things "National". UBINAFSI, UBINAFSI, UBINAFSI ... Siyo kujidharau, I am very proud. But a spade cannot be called a jembe.

  Swala la maana ni kuhakikisha utaifa unabaki kwa kiasi cha kujivunia. Kenya Airways is still Kenya Airways na inauza utaifa wao. Precision is still Precision as Tanzanians control the majority shares.
   
 15. M

  MtuKwao Senior Member

  #15
  Dec 4, 2009
  Joined: Oct 7, 2006
  Messages: 190
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Oh Dear!
   
Loading...