M Mkodoleaji JF-Expert Member Joined Apr 27, 2008 Posts 458 Reaction score 138 Jan 16, 2013 #2 Hawa viongozi wa serikali hawana kazi kwa kweli
Mwanahisa JF-Expert Member Joined Jun 29, 2012 Posts 1,382 Reaction score 518 Jan 16, 2013 #3 Mbeya tumewasikia, na tumewafikia.
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,361 Jan 16, 2013 #4 Picha ya kwanza nimeipenda lakini hapo wanaomba Fastjet wasiende kabisa huko.
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,855 Reaction score 405 Jan 17, 2013 #5 Watu binafsi wanaweza tena sana lakini serikali inashindwa tena sana!!!!!! Haya ni mambo yanayotokea Tanzania tu.
Watu binafsi wanaweza tena sana lakini serikali inashindwa tena sana!!!!!! Haya ni mambo yanayotokea Tanzania tu.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,339 Reaction score 111,582 Jan 17, 2013 #6 Ni uwanja mzuri katika runway...ila sijui kwa nini jengo la abiria wamejenga la kawaida sana!!!
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,309 Reaction score 98,946 Jan 17, 2013 #7 wale wenye mitambi siwaoni mbona?