Pre mature ejaculation na uwezekano wa kutungwa kwa mimba

Kitu ulichoandika hakina uhusiano wowote na premature ejaculation
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Nitaamini kwamba hili la ku-share taulo linaweza kusababisha mimba nikifika mbinguni na kushuhudiwa na Mungu mwenyewe 😂😂😂
Labda sperm zikibaki kwenye taulo zikaja kukutana na utelezi wa kule bondeni wakati mdada anajifuta zikaamua kupiga mbio kuelekea huko machimbo kurutubisha.
 
Huo ulikuwa uongo, mpaka sperm moja ifikie yai, inahitaji msaada mamillioni ya sperms nyingine.
 
Premature ejaculation humaanisha ni manii yatokayo muda mfupi kabla ya kudinya au wakati wa kidinyana lakini pasipo kutarajia...

Sasa haina uhusiano na manii yaliyotolewa kwa masterbation au njia nyingine yoyote au manii yaliyofutwa kwa kitambaa, taulo n.k
Ulitaka niandikeje mkuu
 
Hapo nimekuelewa mkuu nashukuru kwa kunifahamisha.
 
Labda sperm zikibaki kwenye taulo zikaja kukutana na utelezi wa kule bondeni wakati mdada anajifuta zikaamua kupiga mbio kuelekea huko machimbo kurutubisha.
Zinabaki kwenye taulo kutoka wapi bana
 
Heshima kwenu wakuu...

Kuna baadhi ya mambo yaliwahi kujitokeza hapo zamani wakati nipo kijana wa makamo miaka ya 2000 enzi zile nipo shule ya msingi niliwahi kushuhudia kisa kimoja kwa baba aliekuwa jirani yetu ambaye walikuwa akiishi na binti yake ambaye alikua tayari amevunja ungo baada ya mkewe kufariki.

Ilisemekana kwa mujibu wa baadhi ya majirani ambao walikuwa mashuhuda wa mkasa ule wa binti kushika ujauzito sababu ya kushare taulo yeye na baba yake mzazi kujifutia sehemu za siri baada ya kuoga.

Hii ilitokana na mazingira waliyokuwa wakiishi na ugumu wa maisha hivyo kujikuta wakishare baadhi ya vitu.

Lengo langu hapa ni kutaka kufahamu hii kitu imewezekanaje ikiwa kitaalam tunajua kuwa moja ya sababu zinazoweza kupelekea kutotokea kwa tendo la fertilization ni low sperm count sasa hapa najiuliza ikiwa sperm zikiwa ndogo au pakiwepo na pre mature ejaculation ni kwamba jambo la urutubishaji haliwezi kutokea sasa je hiyo nadharia katika kisa hiko kifupi hapo juu ina ukweli wowote, Au yule baba alimgeuza mwanae(bintie) kuwa mke .

Wajuzi mnalichukuliaje hili...
Stori za gengeni hizi. Binti ndo kwanza kavunja ungo, tuseme ana bikra hizo sperm za baba ake zilipitia wapi kwenda kweny mji wa uzazi?

Unforgetable
 
Kichwa cha hii thread kilipaswa kuwa je kushare taulo na mwanaume kunaweza kusababisha mimba kwa mwansmke..
 
Mimi
Heshima kwenu wakuu...

Kuna baadhi ya mambo yaliwahi kujitokeza hapo zamani wakati nipo kijana wa makamo miaka ya 2000 enzi zile nipo shule ya msingi niliwahi kushuhudia kisa kimoja kwa baba aliekuwa jirani yetu ambaye walikuwa akiishi na binti yake ambaye alikua tayari amevunja ungo baada ya mkewe kufariki.

Ilisemekana kwa mujibu wa baadhi ya majirani ambao walikuwa mashuhuda wa mkasa ule wa binti kushika ujauzito sababu ya kushare taulo yeye na baba yake mzazi kujifutia sehemu za siri baada ya kuoga.

Hii ilitokana na mazingira waliyokuwa wakiishi na ugumu wa maisha hivyo kujikuta wakishare baadhi ya vitu.

Lengo langu hapa ni kutaka kufahamu hii kitu imewezekanaje ikiwa kitaalam tunajua kuwa moja ya sababu zinazoweza kupelekea kutotokea kwa tendo la fertilization ni low sperm count sasa hapa najiuliza ikiwa sperm zikiwa ndogo au pakiwepo na pre mature ejaculation ni kwamba jambo la urutubishaji haliwezi kutokea sasa je hiyo nadharia katika kisa hiko kifupi hapo juu ina ukweli wowote, Au yule baba alimgeuza mw

Kitu ulichoandika hakina uhusiano wowote na premature ejaculation
Mimi.namfahamu mdada x alitoka mbwato anakaingia kuoga akajifuta kW taulo.Katika mile chumba alikuwa mdada mwingine alikuwa katka siku zake uvivu was kufua akatumia taulo LA yule aliyoka mbwato kuogea .nakwambia alipata mimba na shule alifukuwa maana ilikuwa Day
 
Mimba ya bluetooth...
 
Hakuna kitu kama icho. Kwahyo iyo taulo alkuwa analiingiz sehem zake siri. Impossible
 
Zipo kesi za wanawake kupata ujauzito katika mabwawa ya kuogelea pasi na kungonoka.
 
Back
Top Bottom