immortanity
JF-Expert Member
- Nov 8, 2024
- 859
- 1,591
Pole sana, anza kufanya kegel exercises for men na kama una matatizo mengine ya kiafya, kuwa serious kuyashughulikia.wakuu natumai hamjambo wote.
Daaah hii ishakuwa hatari mpka naishiwa pawa kuhusu hilo swala la pre-mature ejaculation hali inazidi kuwa mbaya .
kama ni zoezi na piga sio haba lakini wapi hali ni ile ile wakati wa romance tu tayari nishatuwa mzigo aiseeš„².
hii hali inanisikitisha sana hata sioni umuhimu wa kukutana na demu maana utaishia kudhalilika tu umeloanisha suruli si aibu hizi wakuu.
naombeni ushauri wenu wakuu ninusurike na hii fedheha
yani unakuwa unaishia tu kula kwa macho aiseee hii kitu inanikata balaa
tafadhali naombeni ushauri wenu na kwa yeyote aliiwahi pitia changamoto kama yangu naomba anaipe mwongozo uliwezaje kukabiliana nayo.
asanteni sana.
daaah so kupania kaka yani kwenye hata kabla ya kuichomeka tayari nishamwaga hata kwa kumshika shika tu meanamke na mwaga aisee sielewi shida niniAcha kupania wewe dogo relax
sawa mkuuWanaune wote tupo hivo hivo, kwa hiyo upo salama usiogope mpuuzi wewe.
NRNE
Binadamu tunajichosha bure, mie huwa huwa nimekubaliana na hali yangu, nusu takooo wazungu haoo.. maisha yasonga š šPole sana, anza kufanya kegel exercises for men na kama una matatizo mengine ya kiafya, kuwa serious kuyashughulikia.
hata kabla ya kuingiza mkuuHujaeleza vizuri usaidiwe. Pre Mature inamaana unamwaga kabla hujaingiza au ukiingiza ndani ya sekunde umemaliza au una changamoto ipi usaidiwe mkuu lakini yote katika yote, pole sana.
kegel nafanya sana Binti wa zamani matatizo mengine ya afya sina zaidi ya madonda ya tumboPole sana, anza kufanya kegel exercises for men na kama una matatizo mengine ya kiafya, kuwa serious kuyashughulikia.
Pole sana mkuu.wakuu natumai hamjambo wote.
Daaah hii ishakuwa hatari mpka naishiwa pawa kuhusu hilo swala la pre-mature ejaculation hali inazidi kuwa mbaya .
kama ni zoezi na piga sio haba lakini wapi hali ni ile ile wakati wa romance tu tayari nishatuwa mzigo aiseeš„².
hii hali inanisikitisha sana hata sioni umuhimu wa kukutana na demu maana utaishia kudhalilika tu umeloanisha suruli si aibu hizi wakuu.
naombeni ushauri wenu wakuu ninusurike na hii fedheha
yani unakuwa unaishia tu kula kwa macho aiseee hii kitu inanikata balaa
tafadhali naombeni ushauri wenu na kwa yeyote aliiwahi pitia changamoto kama yangu naomba anaipe mwongozo uliwezaje kukabiliana nayo.
asanteni sana.
daaah nahisi sio kichwani mkuu kuna mahala labda hapako sawaTatizo lipo kichwani mwako mkuu,
cheza na mindset yako tu.
Hili ni tatizo kubwa. Ukikamia game lazima uaibikeAcha kupania wewe dogo relax
aisee yani kila nikikutana na demu mambo huwa ivyo kiss na kumtosa najikuta tayari nishamwagaPole sana mkuu.
Mkuu huwa unakutana na mwanamke kila baada ya muda gani?
Umeshajaribu kukaa na mwanamke wiki nzima na hali ikawa hiyo hiyo kila siku?
Fanya zaidi mazoeezi ya kutembea kwa muda mrefu mkuu huwa yanasaidia. tembea hata kilomita nane kila siku.wakuu natumai hamjambo wote.