Prayer Alter for Humphrey Polepole

Kila siku alikua anatamka anamtegemea mungu wa mbinguni matokeo yake umeyaona sasa unataka tuendelee kumuomba huyo huyo aliyeshindwa kumlinda asitekwe?
Hawa watu ni wajinga sana.

Hawajui kuwa kumuomba Mungu tu, Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote ma uwezo wote, ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.

Kwa sababu angekuwapo, kwa sifa zake, wasongehitaji kumuomba, angewapa mazuri yote kabla hawajapungukiwa.

Mungu anayejua yote, mwenye uwezo wote na upendo wote unamuomba nini sasa?

Hajui unachohitaji unamueleza?

Kasahau unamkumbusha?

Ana roho mbaya unataka kumlainisha?

Wajinga sana hawa watu.
 
I like that you said fake God that means their is a true God somewhere, that's a good start. I will get back to you....
 
I like that you said fake God that means their is a true God somewhere, that's a good start. I will get back to you....
That logical fallacy is called non sequitur.

It could be fake Gods all the way, with the idea of a real God existing being false.

But I know you can't get that through your head.

Because you are misled and misfed bullshit for a very long time.
 
Huu ujinga umechangia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa polepole unae pambana nae anatumia akili wewe unategemea miujiza kama majimaji rebellion
 
Huu ujinga umechangia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa polepole unae pambana nae anatumia akili wewe unategemea miujiza kama majimaji rebellion
Exactly.

Polepole mwenyewe kakamatwa kwa sababu hajatumia akili kujilinda, kamtegemea Mungu wa mbinguni.

Akaishia kukamatwa.

Halafu hawa wajinga nao bado wanamuomba Mungu?

Kwani Polepole hakumuomba Mungu?

Mbona Polepole kila siku alikuwa anamtaja Mungu?
 




COPIED ⚠️
STORY BY : the AFRICA REPORT [Facebook]

Exclusive: Former ambassador to Cuba, Humphrey Polepole, has died after being abducted from his home on 6 October, sources told The Africa Report. ➡️ https://l.theafricareport.com/2qg A ruling party insider turned government critic, Polepole reportedly succumbed to injuries from the attack. His death comes amid a wave of abductions targeting critics ahead of Tanzania’s 29 October elections.

WHERE IS HAMPHREY POLEPOLE ⚠️
#STOPABDUCTIONSTZ #WAKEUPTANZANIA View attachment 3486759
 
We will only believe the report of the LORD. Isaiah 53:1 Who has believed what he has heard from us? And to whom has the arm of the Lord been revealed?
 
Let's hope it's isn't true, perhaps we are keenly following up...

The government must be in position to clarify on this
Africa & the world at large are watching 💔🇹🇿

 
Say to those with fearful hearts,
“Be strong, and do not fear,
for your God is coming to destroy your enemies.
He is coming to save you.” Psalms 35:4
 
'For Zion’s sake I will not keep silent, and for Jerusalem’s sake I will not be quiet, until her righteousness goes forth as brightness, and her salvation as a burning torch. The nations shall see your righteousness, and all the kings your glory, and you shall be called by a new name that the mouth of the Lord will give. '

Isaiah 62:1-2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…