family background please with evidence. Isije ikawa unataka kumalizia kibanda chako.
Huo msaada utasimamiwa vipi na dhamana ya nani kuhakikisha anapata masomo?Mtoto wa kitanzania aliepewa jina la obama kutokana na siku yake ya kuzaliwa kuendana \na siku ya kutangazwa ushindi wa obama
anaomba msaada wa yoyote mwenye uwezo wa kumsaidia aweze kusoma atashukuru sana sana
amekuwa akiishi naa babake na mama wa kambo lakini hivi sasa mamake huyo amekuwa akimtesa kiasi cha hata babake kuacha kumsaidia shuleni
kama utaguswa kusaidia ni pm uweze kubarikiwa
Kama ni awamu ya kwanza, Obama alitangazwa as US president November 4, 2008, na akala kiapo on January 20, 2009.
Nadhani unazungumzia alivotangazwa as Rais.
Hadi sasa huyo "Obama" ana umri wa miaka 5.
Umri wake inabidi akasome Chekechea au Shule ya Msingi.
... Ila mbona Shule ya Msingi kusoma bure?
:msela:
Jamani Mwijiiiiiii Mwijiiiii Mwijiiiiii...
Mkuu ni vema waTz tusaidiane. nimeguswa na huyu ntoto. naomba bank account number au hata simu namba nikurushie ka lakhi kamoja kwa kuanzia.
Mkuu ni vema waTz tusaidiane. nimeguswa na huyu ntoto. naomba bank account number au hata simu namba nikurushie ka lakhi kamoja kwa kuanzia.
Mtoto wa kitanzania aliepewa jina la obama kutokana na siku yake ya kuzaliwa kuendana \na siku ya kutangazwa ushindi wa obama