Pray for Obama popote ulipo

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,002
Mtoto wa kitanzania aliepewa jina la obama kutokana na siku yake ya kuzaliwa kuendana \na siku ya kutangazwa ushindi wa obama

anaomba msaada wa yoyote mwenye uwezo wa kumsaidia aweze kusoma atashukuru sana sana
amekuwa akiishi naa babake na mama wa kambo lakini hivi sasa mamake huyo amekuwa akimtesa kiasi cha hata babake kuacha kumsaidia shuleni

kama utaguswa kusaidia ni pm uweze kubarikiwa
 
family background please with evidence. Isije ikawa unataka kumalizia kibanda chako.
 
Mtoto wa kitanzania aliepewa jina la obama kutokana na siku yake ya kuzaliwa kuendana \na siku ya kutangazwa ushindi wa obama

anaomba msaada wa yoyote mwenye uwezo wa kumsaidia aweze kusoma atashukuru sana sana
amekuwa akiishi naa babake na mama wa kambo lakini hivi sasa mamake huyo amekuwa akimtesa kiasi cha hata babake kuacha kumsaidia shuleni

kama utaguswa kusaidia ni pm uweze kubarikiwa
Huo msaada utasimamiwa vipi na dhamana ya nani kuhakikisha anapata masomo?
 
Obama huyo nayemfahamu mimi mbona baba yake yupo fresh tu.... mkuu mpeleke mtoto Ustawi atasaidiwa tu... Kuliko kumgeuza mtoto Matonya.... huu umekuwa kama janga la watanzania...

Tulipokuwa wadogo tulifundishwa wimbo

Kuomba omba kubaya sana

Kuomba omba kubaya sana

Usiombe usiombe Jitegemee!
 
Kama ni awamu ya kwanza, Obama alitangazwa as US president November 4, 2008, na akala kiapo on January 20, 2009.

Nadhani unazungumzia alivotangazwa as Rais.

Hadi sasa huyo "Obama" ana umri wa miaka 5.

Umri wake inabidi akasome Chekechea au Shule ya Msingi.

... Ila mbona Shule ya Msingi kusoma bure?

:msela:

Jamani Mwijiiiiiii Mwijiiiii Mwijiiiiii...
 
nimeipenda...
 
Mkuu ni vema waTz tusaidiane. nimeguswa na huyu ntoto. naomba bank account number au hata simu namba nikurushie ka lakhi kamoja kwa kuanzia.
 
Tehe! tehe! Mtanzania kama huyu, kwa lugha ya Maandiko anaitwa Msamaria, tena Msamaria mwema. Maana sio Wasamaria wote ni wema.
 
Mtoto wa kitanzania aliepewa jina la obama kutokana na siku yake ya kuzaliwa kuendana \na siku ya kutangazwa ushindi wa obama

anaomba msaada wa yoyote mwenye uwezo wa kumsaidia aweze kusoma atashukuru sana sana
amekuwa akiishi naa babake na mama wa kambo lakini hivi sasa mamake huyo amekuwa akimtesa kiasi cha hata babake kuacha kumsaidia shuleni

kama utaguswa kusaidia ni pm uweze kubarikiwa

Tunaomba na waliozaliwa usiku huu apatikane atakaeitwa MANDELA
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom