Mbona ame attach video, hujaiona?Picha
Sigala cigalettes lest hin piciPombe sio sigala cigarettes 🤣
lazima wamewapekua kuambulia chochote kitu.Basi wanangu wa kampuni ya ulinzi wanajiona wamekuwa maaskari kabisa kwa kutoa huo msaada
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mbona unatoa hukumu wakati hujafatilia lolote? Mashuhuda wanasema walikua wanatoka kwenye nyumba ya ibada,labda kama nyumba za ibada wanatoa pombeMambo ya tungi za wikiendi
Acha kuhukumu hovyo hivyo,fatilia mashuhuda kwanza,usipende kujifanya unaona mbali ,nakushauri tumia akili sanaBila kupepesa macho chanzo cha ajali hiyo ni ulevi tu. Pombe ilimzingua dereva gari ikahama barabara. Wengi wenye vigarigari ni wanywa pombe na wala bata. Weekend huenda kula bata zao kwa kunywa pombe kwa sana na huingia garini kuendesha wakiwa wamelewa pombe
Yaap Kwani wamewahi kuliko wanaolipwa na Kodi zetu, wao wanaenda kutafuta majeruhi hospitaliBasi wanangu wa kampuni ya ulinzi wanajiona wamekuwa maaskari kabisa kwa kutoa huo msaada
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo hapo wewe ndo umetumia akili zip? Listen Bro;Acha kuhukumu hovyo hivyo,fatilia mashuhuda kwanza,usipende kujifanya unaona mbali ,nakushauri tumia akili sana
We endelea kulima miti...yani unavyojaji kama ndio ulikuwepo vile? Unajua chombo cha moto kina mambo mengi,mwendo mkali halafu pale ni high way na tairi likabust je? Unafaham kwamba staring power inaweza katalia upande mmoja?Kwa hiyo hapo wewe ndo umetumia akili zip? Listen Bro;
1. Mashuhuda walikuwa na kipimo cha Alcohol?
2. If waliulizwa wahanga, unadhani kwa haraka wangesema wametoka kulewa?
Kikubwa tujifunze kunywa kwa kiasi to self control,
Na nadhani ifike mahala wahusika wa namna hii walipishwe gharama za ku-repair damages, we cannot go that way
Auxiliary Police safi sana. Mungu awabariki kwa moyo wa uungwana mliouonesha.Kwa upande wao Wafanyakazi wa Kampuni ya Ulinzi ambayo imeshiriki kwa kiasi kikubwa kuokoa majeruhi na kupambana kulitoa gari eneo la Bahari
Hawawezi kukosa .lazima wamewapekua kuambulia chochote kitu.
Askari ni askari tu, awe analipwa na serikali au kampuni binafsi. Achana na mentality za hovyo, kwa maana hazitakupeleka popote. Wise up bro.Basi wanangu wa kampuni ya ulinzi wanajiona wamekuwa maaskari kabisa kwa kutoa huo msaada
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Acha wawapekue tu wapuz wakubwalazima wamewapekua kuambulia chochote kitu.
Ndio maana ninapenda sana gari za Sedan kuliko SUVs. My father had one back in 2018.Na Prado siyo gari stable barabaran
Mwezi uliopita uliua ndugu wa4 pale chalinze,watu wasahaulifu sana
Kaka mkubwa kwanza kabisa rekebisha hizo habari za askari ni askari sio hawa walinzi wa kampuni za vichochoroni eti niwaite askari wengine hata kutumia bunduki hawajui .Askari ni askari tu, awe analipwa na serikali au kampuni binafsi. Achana na mentality za hovyo, kwa maana hazitakupeleka popote. Wise up bro.
Polisi wanatakiwa wawe wanakaa kumbe zote za starehe kuanza piga fine madereva wote walevi mtu akianza endesha gari ametoka Club polisi wampime kiwango cha pombeBila kupepesa macho chanzo cha ajali hiyo ni ulevi tu. Pombe ilimzingua dereva gari ikahama barabara. Wengi wenye vigarigari ni wanywa pombe na wala bata. Weekend huenda kula bata zao kwa kunywa pombe kwa sana na huingia garini kuendesha wakiwa wamelewa pombe
baridi la wapi mkuu[emoji24][emoji1787]Kama nawaona abiria na dereva wao....wapo bwax, mziki mkubwa, ac baridi la mochwari speed ya ngiri.
Bro mimi nalima miti Wangingombe lkn naishi Mjini kati hapa Sokoine Drive, hapo darajani napita almost kila siku when i joggy lkn nikiwa napiga misele pia. Nakubaliana na wewe kwamba inaweza ikatokea ajali inayosababishwa na chombo, lkn pia ulevi unaweza kuwa sababu!We endelea kulima miti...yani unavyojaji kama ndio ulikuwepo vile? Unajua chombo cha moto kina mambo mengi,mwendo mkali halafu pale ni high way na tairi likabust je? Unafaham kwamba staring power inaweza katalia upande mmoja?