Prado latumbukia Daraja la Tanzanite

Prado latumbukia Daraja la Tanzanite

wameshatuharibia daraja la garama kabisa, kuweni makini kuendesha hayo magari. halafu maprado ya aina hii sijui yamerogerezewa ajali?l hii miprado ya zamani.
Wpmbv kama hao wakitoka hapo ni kuwapiga fine au jela kwa kuharibu
Miundombinu ya daraja hilo

Ova
 
Wpmbv kama hao wakitoka hapo ni kuwapiga fine au jela kwa kuharibu
Miundombinu ya daraja hilo

Ova
hapo hata kama ni traffick kesi, anatakiwa akipewa adhabu aamriwe na mahakama pia kutoa garama ya kurekebisha sehemu ya uharibifu kwenye daraja alioufanya. hatuwezi kuwa tunajenga daraja kila siku kwa uzembe wa wanywapombe.
 
Na asipotengeneza wampige mvua ya mwaka mmoja tu
Watu watajifunza

Ova
 
Polisi wanatakiwa wawe wanakaa kumbe zote za starehe kuanza piga fine madereva wote walevi mtu akianza endesha gari ametoka Club polisi wampime kiwango cha pombe
we unayebisha ukweli wa ajali hiyo unaujua? Tueleze ili tusihukumu kwa akili zetu za kuona mbali
 
Back
Top Bottom