Kwa hiyo askari wa zimamoto na uokoaji wamefika eneo la tukio wakakuta majeruhi washapelekwa hospital? Kwamba taarifa walichelewa kuipata ama?Gari (Prado) lenye namba za usajili T 273 CMX limeacha barabara na kisha kubomoa kingo za daraja la Tanzanite Jijini Dar es salaam na kutumbukia chini ya daraja hili (eneo la Bahari) usiku wa kuamkia leo September 03,2023.
Mkaguzi Msaidizi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kizimamoto Ilala, Shani Kiduka amesema gari hilo lilikuwa na Watu wanaokadiriwa kuwa wanne hadi watano ambao wameokolewa wakiwa wamejeruhiwa na tayari wamepelekwa Hospitali kwa matibabu.
“Tumepata taarifa saa sita na dk 47 usiku, tumefika tumekuta tayari majeruhi wamepelekwa Hospitali, baada ya gari kutoka tunaelekea Hospitali na crew yangu kwenda kuwatambua majeruhi, zoezi la kulitoa gari limekuwa gumu kutokana na hali ya hewa ya Bahari lakini tutajitahidi gari litatoka, ushauri wangu kwa Madereva ni kuwa waangalifu barabarani hasa maeneo ya madaraja na pia wasitumie vilevi wakiwa wanaendesha”
Kwa upande wao Wafanyakazi wa Kampuni ya Ulinzi ambayo imeshiriki kwa kiasi kikubwa kuokoa majeruhi na kupambana kulitoa gari eneo la Bahari wamesema walipopata taarifa tu walifika na kusaidia kuokoa majeruhi na kuwapeleka Hospitali na kwamba kilichosaidia kuwaokoa kirahisi ni kwakuwa maji yalikuwa sio mengi kwa wakati huo.
View attachment 2737361
Ndio maana sisi matajiri tukienda kulewa. Lazima tuite tax au tuwe na dereva ambaye hajakunywaMadereva wengi sahv washamba,walevi, wanandeshea sifa
Wengi wrndawazimu tu
Ova
wameshatuharibia daraja la garama kabisa, kuweni makini kuendesha hayo magari. halafu maprado ya aina hii sijui yamerogerezewa ajali?l hii miprado ya zamani.Gari (Prado) lenye namba za usajili T 273 CMX limeacha barabara na kisha kubomoa kingo za daraja la Tanzanite Jijini Dar es salaam na kutumbukia chini ya daraja hili (eneo la Bahari) usiku wa kuamkia leo September 03,2023.
Mkaguzi Msaidizi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kizimamoto Ilala, Shani Kiduka amesema gari hilo lilikuwa na Watu wanaokadiriwa kuwa wanne hadi watano ambao wameokolewa wakiwa wamejeruhiwa na tayari wamepelekwa Hospitali kwa matibabu.
“Tumepata taarifa saa sita na dk 47 usiku, tumefika tumekuta tayari majeruhi wamepelekwa Hospitali, baada ya gari kutoka tunaelekea Hospitali na crew yangu kwenda kuwatambua majeruhi, zoezi la kulitoa gari limekuwa gumu kutokana na hali ya hewa ya Bahari lakini tutajitahidi gari litatoka, ushauri wangu kwa Madereva ni kuwa waangalifu barabarani hasa maeneo ya madaraja na pia wasitumie vilevi wakiwa wanaendesha”
Kwa upande wao Wafanyakazi wa Kampuni ya Ulinzi ambayo imeshiriki kwa kiasi kikubwa kuokoa majeruhi na kupambana kulitoa gari eneo la Bahari wamesema walipopata taarifa tu walifika na kusaidia kuokoa majeruhi na kuwapeleka Hospitali na kwamba kilichosaidia kuwaokoa kirahisi ni kwakuwa maji yalikuwa sio mengi kwa wakati huo.
View attachment 2737361
Most likely. Prado ni gari ya kishamba sana. Lkn ndio gari inayoongoza kununuliwa na washamba waliookota viela na magari hawajuiKwa prado unaweza kuta chanzo ni tairi la mbele kuchomoka .
Siyo kweli mzee wangu, tungi hatukutumia kabisa. Tulikunywa tu bapa kubwa sita sita kila mtu tukaondoka zetu.Mambo ya tungi za wikiendi
Okk Let's put like this "Everyone is innocent until proved guilty " ...Bro mimi nalima miti Wangingombe lkn naishi Mjini kati hapa Sokoine Drive, hapo darajani napita almost kila siku when i joggy lkn nikiwa napiga misele pia. Nakubaliana na wewe kwamba inaweza ikatokea ajali inayosababishwa na chombo, lkn pia ulevi unaweza kuwa sababu!
nilishawahi kusafiri toka mwanza hadi dsm kwa liprado kama hilo. roho ilikuwa mkononi. mengi yakitoka dsm au mwanza yakipita singida bila ajali shukuru Mungu. nashangaa kwamba hata ndani ya mji kama dsm yanazingua. sasa, hilo daraja nani atagarimia kulitengeneza sasa? tujadili hilo pia.Most likely. Prado ni gari ya kishamba sana. Lkn ndio gari inayoongoza kununuliwa na washamba waliookota viela na magari hawajui
Sio kweli. Haya magari yana tabia za kuchomoka tairi za mbele na kuacha bara bara.Mambo ya tungi za wikiendi
Gari unaisingizia.Huwezi kupima ustable wa gari kwa mwendo kasi kwa hizi barabara zetu.jazia na control ya dereva husika ikoje.Ile ya chalinze inaonekana dereva alimwaga moto akakutana na taa kali machoni gari ikamshinda akahama.Lawama tunaitupia gari.Na Prado siyo gari stable barabaran
Mwezi uliopita uliua ndugu wa4 pale chalinze,watu wasahaulifu sana
halikutakiwa kuharibika ili liuzwe pesa irekebishe hilo daraja tulilogarimia kwa pesa zetu za kodi. nawaombea wapone ila hapo darajani ni eneo ambalo hutakiwi kutembea kilometer zaidi ya 30, na kwa mwendo wa aina hiyo usingetumbukia darajani, lazima aidha alilewa au alikuwa kasi, madhara yake ni kwenye afya zao na kutuletea hasara ya daraja tulilojenga kwa kodi zetu.Prado limekunywa maji chumvi halifai tena
Naskia mlivokuwa kwenye maji mlikuwa mnapiga mbizi kama mko kwenye swimming poolSiyo kweli mzee wangu, tungi hatukutumia kabisa. Tulikunywa tu bapa kubwa sita sita kila mtu tukaondoka zetu.
Tulipofika darajani na kwa kuona yale mataa na zile grill pembeni ya daraja tukajua tumeshafika nyumbani.
Dereva kapiga honi weee lakini mlinzi hakufungua geti. Kuona muda unaenda na mlinzi haji kufungua, tukamwambia dereva: Ingia na geti ndani.
Mara puuuu dereva kagonga mgeti ule, ila tulipoangalia nyumba yetu hatukuiona. Gari nalo likaanza kuelea kwenye maji kama vile boti la kilimanjao VI ya Azam marine.
Ninachokumbuka cha mwisho ni kusikia watu wakipiga kelele: wanazama hao, wanazama hao lakini baada ya hapo sikimbuki tena lolote.
Ingawa nimeumia lakini bado naziwaza baba zangu nne zilizokuwa kwenye gari. Sijui nitazikuta?
Gari haliwezi kua na tabia.Hatufanyi service za uhakika alafu tunasingizia magari.Ingekua ni lenyewe tu ndo linapata ajali sawa.Lakini ukisafiri unakutana na ajali za magari ya kila aina.Mimi siamini sana kwenye mapungufu ya gari kama mimi dereva nitakua mwangalifu kuanzia kwenye ubora na mapungufu ya chombo changu,barabara na utimamu wangu mwenyewe.Sio kweli. Haya magari yana tabia za kuchomoka tairi za mbele na kuacha bara bara.
ukitembea kilometa ngapi kwa saa? kwa ninyi mliosoma pale darajani, tunatakiwa kupita kwa km ngapi? si ukute 20km/hr. huo ni mwendo mdogo sana hata tairi likichomoka huwezi tumbukia majini.Sio kweli. Haya magari yana tabia za kuchomoka tairi za mbele na kuacha bara bara.
Senge sana [emoji23][emoji23][emoji23]Siyo kweli mzee wangu, tungi hatukutumia kabisa. Tulikunywa tu bapa kubwa sita sita kila mtu tukaondoka zetu.
Tulipofika darajani na kwa kuona yale mataa na zile grill pembeni ya daraja tukajua tumeshafika nyumbani.
Dereva kapiga honi weee lakini mlinzi hakufungua geti. Kuona muda unaenda na mlinzi haji kufungua, tukamwambia dereva: Ingia na geti ndani.
Mara puuuu dereva kagonga mgeti ule, ila tulipoangalia nyumba yetu hatukuiona. Gari nalo likaanza kuelea kwenye maji kama vile boti la kilimanjao VI ya Azam marine.
Ninachokumbuka cha mwisho ni kusikia watu wakipiga kelele: wanazama hao, wanazama hao lakini baada ya hapo sikimbuki tena lolote.
Ingawa nimeumia lakini bado naziwaza baba zangu nne zilizokuwa kwenye gari. Sijui nitazikuta?
Dah! yaani polisi walivyo wachache waache kulinda raia na mali zao wadili na waleviPolisi wanatakiwa wawe wanakaa kumbe zote za starehe kuanza piga fine madereva wote walevi mtu akianza endesha gari ametoka Club polisi wampime kiwango cha pombe