chororingo
Senior Member
- Jan 15, 2008
- 104
- 92
Kama uko mitaa ya Ubungo/Shekilango nenda pale NHC karibu na Kibona wa Medicinal plant mtafute fundi Michael mdogo, namba yake ni 0715 39 59 27, ni fundi mzuri na mwaminifu sana
... na bwana mmoja anaitwa Kidedea anapatikana Kijitonyama. Namba yake ni 0754282964. Usijaribu kubahatisha kwa mafundi wa kujaribu kwenye haya magari ya kisasa.../QUOTE]
Longing to meet some JF members there...

You don't say...........! I was under the impression that you dreaded this kind of meeting!
Plug zinaleta shida gani mkuu?peleka wakabadirishe spark plugs.
nasubiri jibuAsanteni kwa ushauri. Hivi haya magari kama PRADO fuel consumption yake kwa wastani huwa ni ipi? yaani lita moja inakwenda kilometa ngapi?