Practical training mwezi wa 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Practical training mwezi wa 7

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mr. Masasi, May 12, 2011.

 1. M

  Mr. Masasi Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau hali zenu? Naomben msada wa kimawazo au wa kupata sehem ya kufanyia field ya wik 6,kwan sehem niliyopata ni halmashaur ya serengeti lakn huko ni mbali na mimi ni mwenyeji wa nzega tabora. Nko udom nasoma project planing,management and comunity devlpmnt. Asanten
   
 2. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  jitahidi kupata mawasiliano ya kwa maafisa utumishi wa wilaya za tabora unaweza pata field uko ni karibu na kwenu .
   
Loading...