Nafasi ya field(pracal training) 1

Mr. Masasi

Member
May 12, 2011
53
4
Wadau nisaidieni nafas ya kufanya field, sehemu yoyote serikalin au NGO, ni wik 6 tu, nimepata halmashaur ya serenget ni mbali. Nko udom nasoma project planing, management and comunity development. Asanten
 
mkuu mbona umeshachelewa? si ungeleta mada yako mapema ndugu?mi nimeshashindwa kukua msaada wowote maana madogo field washaomba tayari.
 
Mwana nenda huko huko ulikopata cause utachoma maindi sana kupata pengine:biggrin1:
 
gekuwa umepata kazi huko serengeti ungeenda? If yes, field ni karibu sawa na kazi ila hulipwi. if no, basi hupo tayari to help the needy people. ungekuwa mwalimu je ungekubali kwenda kufundisha NANYUMBU-MTWARA?
 
:biggrin1: cjakuelewa ,ndugu.kwanza kwenu ni wapi mpaka useme serengeti ni mbali.cdhani kama udom ni karibu kama kuliko kulivyo serengeti.nenda tu ndugu kwani hiyo pia ni sehemu ya darasa kama ulivyofika udom na kukalia hivyo viti vya kichina.(SIKUELEWA PRACAL TRAINING)HII NDIYO COURSE
 
Head of department anafanya kazi ipi? Enzi zetu zilikuwa zinatoka nafasi alafu unasema unataka kwenda wapi, sasa hicho chuo chenu sijui kikoje, any way kama wamekupangia huko ni bora uende kwani chuo kimeona huko utajifunza mengi. N a point yako ya umbali haina maana kwani nauli utapewa na serikari so umbali sio inshu, otherwise niambie kama unajisomesha then hapo kweli omba msaada, Mimi nilipangiwa tukuyu tena sehemu moja inaitwa mwakaleli je wewe ungeenda? piga shule acha siasa
 
Back
Top Bottom