Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,428
Mada ni ndefu kidogo, kwa hiyo tunaenda taratibu. Karibu tubadilishane mawazo na tusaidiane kubadilisha mawazo ya watanzania kwa namna ambayo itasaidia kuwezesha mabadiliko chanya tatokee.Ungeandika yote hapo hapo!
Wapinzani wakati mwingine wana hoja za msingi na nzuri sana tatizo wanavyoziwakilisha. Ila 2020 wengi wanakosa ubunge. Maana sasa hawapendeki kabisa, wanaishia kukodi watu kuja kwenye mikutanoKuna kanuni moja muhimu sana katika sayansi ambayo leo tungependa kuichambua kwa kina na kueleza jinsi inavyoathiri siasa za Tanzania na kusababisha jamii yote kwa ujumla kupoteza mueleko ikiwemo wengi miongoni mwa wanaosoma mada hii.
Kupitia uchambuzi wa huu, tutajibu kwanini kuna mambo yasiyokuwa ya kawaida yanatokea kila mahali ikiwemo humu JF na kutoa suluhu na kueleza nini kitatokea ikiwa tutaendelea kufanya tufanyavyo.
Nazungumzia kanuni inayojukikana kama “the law of use and misuse”. Kanuni hii inasema kwamba, “Whenever you use, it grows and whenever you don’t use you loose” Yaani “Kwa kadiri unavyotumia kitu ndivyo kinavyokuwa kwa kadiri usivyokitumia kinapotea".
Siasa za demokrasia; msingi wake mkuu ni hoja kwa hoja. Yaani, badala ya watu kutukanana wanatoa hoja. Ushawishi; yaani badala ya watu kupigana na kukabana wanajenga ushawishi. Mijadala; yaani badala ya watu kulazimishana au kudhalilishana wanajadiliana. Hii ni tofauti na mifumo mingine yote ya siasa ambayo misingi yake ni nguvu, hila, uhuni, dhuluma, ulaghai, uongo au vyote kwa pamoja.
Kwa bahati mbaya tunadai sisi ni wana demokrasia ila tumeachana na misingi hiyo hapo juu. Inapotakiwa kutoa hoja tunaongea ujinga, matusi, mizaha, ushabiki na kudhalilishana. Inapohitajika kutumia akili kufikiri tunatumia maguvu.
Sasa tukirudi kwenye kanuni yetu na kuingunganisha na tatizo linalotukabili; Kama tungeendelea na kufanya mijadala ya hoja kama ilivyokuwa miaka ya nyuma na tukaendelea kuwekeza kwenye eneo hilo, maana yake tungejijengea uwezo zaidi wa kujenga hoja. Kwa kuwa kujenga hoja kunahitaji kutumia akili; tungejijengea zaidi uwezo wa kufikiri.Kwa kadiri ambavyo tungekuwa tunajijengea Zaidi uwezo wa kufikiri ndivyo ambavyo tungezidi kujijengea uwezo wa kutatua matatizo yanayotukabili kwa busara.
Tungekuwa tunaendelea kufanya siasa za ushawishi, tungejijengea uwezo Zaidi wa kushawishi na hivyo tungekuwa na siasa za hoja na ushawishi zaidi kwa kadiri muda unavyozidi kwenda na hiyo ingekuwa ni faida kwa watu wote.
Kwa bahati mbaya tumechagua kinyume chake. Hakuna mtu ambaye amewahi kutoa sababu ya msingi kwamba kwa nini tumeamua kuchagua kinyume chake. Ambalo tuna uhakika nalo ni kwamba kuna watu wachache wanaojua kuwa tufanyacho si sahihi na wanachukua hatua, kuna wengi wanaojua tufanyacho si sahihi ila hawachukui hatua, kuna wanaojua ila wanaendelea kwenda kwenye muelekeo usio sahihi huku wakishangaa matokeo.
Kwa kuwa tumechagua kuwa panapohitaji hoja, basi tunaongea ujinga; kwa mujibu wa kanuni yetu hapo juu, tunajikuta tunajijengea uwezo zaidi wa kufikiri na kuongea ujinga. Kwa kuwa panapohitaji kutumia akili tunatumia msuli; basi tunajijengea nguvu ya msuli badala ya fikra (madhara yake kwa mapana tutayaeleza baadae).Tunapotakiwa kuongea mambo ya msingi tunafanya ushabiki, kwa hiyo tunaongeza uwezo wetu wa kushangilia.
Tanzania hatujawahi kuwa na tatizo la chama cha siasa. Hilo ni tatizo bandia. Tuna tatizo la watu mmoja mmoja. Tunapounganisha mtu mmoja mmoja mwenye tatizo tunapata kundi lenye matatizo. mtu huyo mmoja mmoja ataendelea kuwa na matatizo na kundi litaendelea kuwa na matatizo bila Kujali jina la kundi husika (liite jina upendalo) na hali hiyo haiabadilika mpaka mtu mmoja mmoja atakapoamua kwa dhati kubadilika.Wapinzani wakati mwingine wana hoja za msingi na nzuri sana tatizo wanavyoziwakilisha. Ila 2020 wengi wanakosa ubunge. Maana sasa hawapendeki kabisa, wanaishia kukodi watu kuja kwenye mikutano
Mkuu hoja zako zimeenda shule. Huwa nasikitika sana thread za aina hii hazipati credit inayostahili hapa. Badala yake zile za propaganda uongo, kusutana na kutambiana ndiyo zina wachangiaji wengi. Thread zako hazinipiti. Huwa nazisoma mara mbili mbili. Natamani sana mtu kama rais wa nchi au kiongozi wa chama angekutumia wewe kuandaa hotuba zake. Huo uwezo unao kabisa.Kuna watu wanadai aina ya mabadiliko tunayopendekeza yatatuchelewesha kupata tunayohitaji. Wanasahau kwamba kuna vitu havifai kuharakisha na ukiharakisha bila kufuata hatua stahiki unapata matokeo ya bandia.
Ni sawa na wewe ni daktarin, watu wana maabukizi kwenye damu ambayo yanawatafuna kwa ndani vibaya mno na wanaendelea kuambukizana. Halafu wanataka uwashauri wapake make up usoni na mafuta mwilini ili waonekane wako "Fit" huku wanaoza kwa ndani.
Upande wa mpini kashika kichaa tutawezaje kujadiliana naye?Kuna kanuni moja muhimu sana katika sayansi ambayo leo tungependa kuichambua kwa kina na kueleza jinsi inavyoathiri siasa za Tanzania na kusababisha jamii yote kwa ujumla kupoteza mueleko ikiwemo wengi miongoni mwa wanaosoma mada hii.
Kupitia uchambuzi wa huu, tutajibu kwanini kuna mambo yasiyokuwa ya kawaida yanatokea kila mahali ikiwemo humu JF na kutoa suluhu na kueleza nini kitatokea ikiwa tutaendelea kufanya tufanyavyo.
Nazungumzia kanuni inayojukikana kama “the law of use and misuse”. Kanuni hii inasema kwamba, “Whenever you use, it grows and whenever you don’t use you loose” Yaani “Kwa kadiri unavyotumia kitu ndivyo kinavyokuwa kwa kadiri usivyokitumia kinapotea".
Siasa za demokrasia; msingi wake mkuu ni hoja kwa hoja. Yaani, badala ya watu kutukanana wanatoa hoja. Ushawishi; yaani badala ya watu kupigana na kukabana wanajenga ushawishi. Mijadala; yaani badala ya watu kulazimishana au kudhalilishana wanajadiliana. Hii ni tofauti na mifumo mingine yote ya siasa ambayo misingi yake ni nguvu, hila, uhuni, dhuluma, ulaghai, uongo au vyote kwa pamoja.
Kwa bahati mbaya tunadai sisi ni wana demokrasia ila tumeachana na misingi hiyo hapo juu. Inapotakiwa kutoa hoja tunaongea ujinga, matusi, mizaha, ushabiki na kudhalilishana. Inapohitajika kutumia akili kufikiri tunatumia maguvu.
Sasa tukirudi kwenye kanuni yetu na kuingunganisha na tatizo linalotukabili; Kama tungeendelea na kufanya mijadala ya hoja kama ilivyokuwa miaka ya nyuma na tukaendelea kuwekeza kwenye eneo hilo, maana yake tungejijengea uwezo zaidi wa kujenga hoja. Kwa kuwa kujenga hoja kunahitaji kutumia akili; tungejijengea zaidi uwezo wa kufikiri.Kwa kadiri ambavyo tungekuwa tunajijengea Zaidi uwezo wa kufikiri ndivyo ambavyo tungezidi kujijengea uwezo wa kutatua matatizo yanayotukabili kwa busara.
Tungekuwa tunaendelea kufanya siasa za ushawishi, tungejijengea uwezo Zaidi wa kushawishi na hivyo tungekuwa na siasa za hoja na ushawishi zaidi kwa kadiri muda unavyozidi kwenda na hiyo ingekuwa ni faida kwa watu wote.
Kwa bahati mbaya tumechagua kinyume chake. Hakuna mtu ambaye amewahi kutoa sababu ya msingi kwamba kwa nini tumeamua kuchagua kinyume chake. Ambalo tuna uhakika nalo ni kwamba kuna watu wachache wanaojua kuwa tufanyacho si sahihi na wanachukua hatua, kuna wengi wanaojua tufanyacho si sahihi ila hawachukui hatua, kuna wanaojua ila wanaendelea kwenda kwenye muelekeo usio sahihi huku wakishangaa matokeo.
Kwa kuwa tumechagua kuwa panapohitaji hoja, basi tunaongea ujinga; kwa mujibu wa kanuni yetu hapo juu, tunajikuta tunajijengea uwezo zaidi wa kufikiri na kuongea ujinga. Kwa kuwa panapohitaji kutumia akili tunatumia msuli; basi tunajijengea nguvu ya msuli badala ya fikra (madhara yake kwa mapana tutayaeleza baadae).Tunapotakiwa kuongea mambo ya msingi tunafanya ushabiki, kwa hiyo tunaongeza uwezo wetu wa kushangilia.
Mkuu, nakushauri usishangae wala usisikitike. Tuungane tuibadili Tanzania. Ijapokuwa taratibu taratibu ila kwa uhakika Zaidi. Wa kuleta mabadiliko ya msingi ni mimi na wewe na mwingine na mwingine.Mkuu hoja zako zimeenda shule. Huwa nasikitika sana thread za aina hii hazipati credit inayostahili hapa.
Mkuu, jitahidi ukiona jambo ambalo si sawa usitafute mtu wa kumlaumu. jiulize wewe unaweza kufanya nini kwa nafasi yako na kwa mazingira yako ili kuboresha yale unayoweza kuboresha.Upande wa mpini kashika kichaa tutawezaje kujadiliana naye?
Mkuu uko sahihi, nashukuru kwaNaomba nikukose hy kanuni,unless useme hy ni kanuni yako na sio ya Darwini au Lameck kati yao, inaotwa Law of use and disuse,sio misuse.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yote yana chanzo, tujiulize kwanini CDM na wafuasi wake wamefikia hali hiyo, na kama mleta mada anavyosema, jambo likitendeka sana hukua, na kinyume chake hufa, sasa tujiulize; kama wafuasi wa CDM wakiwa na hoja je, upande wa pili huwa na majibu sahihi ya hoja zao? jibu ni hapana.Umesema jambo jema sana, yaani kuna watu hasa CHADEMA,ukiwa kinyume tu na mtazamo wao unakuwa ADUI! Wana democrasia hawa hunishangaza sana....badala ya kujadili hoja,wao huja na matusi kejeli na kuitana majina mabaya na ya hovyo. Kuna wana mabadiliko humu wapo vizuri sana,badala ya kutusi,wanashawishi,ulipopotoka anakurekebisha na maisha yanaendelea.
Naomba nikukose hy kanuni,unless useme hy ni kanuni yako na sio ya Darwini au Lameck kati yao, inaotwa Law of use and disuse,sio misuse.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi humu ndani tunapenda zaidi vyama vyetu,