PPF yasusiwa migodini, wanachama wapya waitosa

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,223
Katika hali ambayo sio ya kawaida nimepata taarifa kuwa kuna kampeni ya kuzuia watu kujiunga na mfuko wa PPF baada ya kutangaza kusitisha fao la kujitoa bila kutoa ufafanuzi wanufaika hao wataishije.

Kwanza waaajiriwa wote wapya hawapewi fomu za PPF completely badala yake NSSF, PSPF na LAPF ndio wanazowapa.

Mytake:Mkurugenzi wa PPF kachemka na ataua mfuko, SSRA mwaka 2012 ilijaribu kuzuia lakini ikaruhusu baada kuona mazingira yenyewe hayampi fursa ya mtu kuweza kufanya kazi hadi 55yrs, au hata kuwa kazini kwa
miaka 10 hadi 15 mfululizo.

Napendekeza atumbuliwe tu, anashusha molare watumishi
 
Back
Top Bottom