mchukiaufisadi
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 546
- 193
Source: The Guardian 14 December, 2011 page 10
Miaka ya 2003-2005, PPF kwa mbwembwe kubwa walianzisha mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu kwa wanachama wake kama mwitikio wa maombi ya wanachama wao. Ili kutekeleza hili walinunua viwanja Mwanza eneo la Kiseke, Iringa eneo la Mawelewele.
Kwa kuanzia, zilijengwa nyuma karibu 550 pale kiseke ambazo Rais Kikwete alizifungua kwa sherehe kubwa ya PPF. Eneo hili lilipangwa vizuri maeneo ya nyumba za kuishi, nyumba za ibada, shule, hospital masoko etc. Upangaji huu na mradi huu ulipangwa vema na Mkurugenzi Mkuu (Naftal Nsemwa) aliyekuwepo wakati huo kabla ya huyu wa sasa bwana Wiliam Erio.
Katika hali ya kusikisha Mkurugenzi mkuu(DG) wa sasa Bw. Erio William toka apokee cheo hiki hakuna jipya zaidi ya kugombana na wakandarasi aliowakuta, kuacha kutekeleza miradi ambayo wanachama waliahidiwa na kukimbilia miradi mipya ili apate 10%. Pia anapoteza muda mwingi kupambana na wafanyakazi waadilifu ndani ya mfuko, hasa wanaomzuia uizi, uzinzi na matumizi mabaya ya madaraka kama alivyokuwa Mattaka
Viwanja vya Mawelewele Iringa, pamoja na kuvinunua, PPF ilitumia pesa nyingi kuwafidia wenyeji, pesa nyingi kuweka waangalizi, PPF kutokana na matumizi mabaya ya fedha za wanachama kwa kugawana wakurugenzi kwa njia za ujanja mbalimbali, hawawezi tena kujenga nyumba za bei nafuu Iringa na tayari Halmashauri ya Iringa wamevichukua viwanja baada ya muda wa uendelezaji kupita.
Kichekesho ni pale Kiseke, PPF iliwekeza kwenye maji, umeme, barabara na miundombinu mingine. PPF imewadanganya wananchi walionunua nyumba wakitegemea kupata huduma za ibada, masoko, shule nk kwa ukaribu lakini sasa wanauza maeneo yote ya wazi.
Ni aibu kuuza hadi maeneo ya ibada. Mfano, eneo la kanisa wanauza Tshs 49.3milion, la msikiti Tshs 19milion. Hivi makanisa na misikiti wanakwenda kufanya biashara gani huko kiseke wanunue kwa bei yote hiyo. Kwa uhalisia, na jinsi mradi ulivyokuwa, ilikuwa PPF wajenge na kukabidhi, gharama zake zimeingizwa kwenye gharama za nyumba. Nyumba ambazo zina hizo gharama zimeshanunuliwa, sasa iweje viwanja hivi viuzwe tena? KUFILISIKA
Wanachama, serikali na vyombo vingine viliangalie hili ni dalili mbaya na ni uthibitisho kuwa PPF inawadanganya wanachama na pia inawaibia.
Maeneo ya matumizi mabaya PPF
Wana JF hebu saidieni kudodosa na kuchangia ili kuokoa fedha za wanachama. TUCTA mko wapi? Serikali mko wapi?

- Bodi ya PPF inapata kila mwaka mafunzo nje ya nchi. Bajeti yao ni zaidi ya Tshs 250 Milioni kwa mwaka.
- Safari za nje za DG na wakurugenzi wengine ni nyingi mno, zikaguliwe tafadhari
- Malipo ya group endowment kwa wakurugenzi ya milioni 200, kila mmoja kwa kila miaka 3 (200MX8) 1.6 Bilioni baada ya miaka mitatu mitatu
- Group endowment kwa DG 540M kila miaka mitatu
- Gharama za samani (furniture) kila miaka mitatu (8,000,000X40%X12X8) Tshs. 307Milioni
- Kodi za magari ya kifahari. Kila baada ya miaka mitatu hununua mapya na kulipiwa kodi yote ya zaidi 50m kwa gari. 50Mx9directors making Tshs 450M
- Miradi isiyokamilika ya komputa, kama ENRICH (1BILION), AK System 400m, Fundmaster, 600M