PPF/PSSSF tukutane kuzimu!

Acha uwongo poyoyo mkubwa
Aliechangia miaka 15 huyo hausiki na 33% natamani uisome hiyo sheria mpya kisha soma na ile ya zamani ndugu poyoyo the great......
Hivi wewe kiumbe wa sayari ipi? Ushaona secta zisizo rasmi zikaajiri mtu kwa miaka 15? Sina takwimu rasmi ila ni ukweli usiopingika % kubwa ya wanachama wa nssf hawatoki serikalini. Hao ndo ninaowazungumzia mimi hapa ambao mtu akibahatika mkataba wa muda mrefu ni miaka 5. Naona unaendelea kuwafariji "wanufaika" wa michango ya muda mrefu!
 
Mkuu yaan mfano tuko 2 wawili na tunaitaji Pesa zetu kwni sheria mpya wamesema inaanza kutumika august1,hapa kila MTU atapata jibu lake kuhusu Pesa na ajila wamepoteza kabla ya tarehe tajwa ya sheria mpya
 
Sayari Dunia...
Acha upoyoyo mkuu soma sheria uione sio unaropokwa tu. Halafu usilete hisia na mihemko bila fact hapa.
Nssf hailipi kwa huo mfumo unaousemea hapa unless unajimix Tu.
Sheria ya nssf iko very clear!
Kucheleweshewa malipo yako na watendaji ni kitu kingine kabisa.
 
Mkuu yaan mfano tuko 2 wawili na tunaitaji Pesa zetu kwni sheria mpya wamesema inaanza kutumika august1,hapa kila MTU atapata jibu lake kuhusu Pesa na ajila wamepoteza kabla ya tarehe tajwa ya sheria mpya
Mmhhhh!
 
Basi kama uko Duniani nadhan sio Tz. Hivi NSSF ni nini bila watendaji, watendaji ambao ndo wenye dhamana ya kuzisimamia hizo uziitazo sheria zako pendwa? Hamna kutenganisha hivyo vitu kaka. Kwa taarifa yako hii mifuko ingekuwa ni hiari kujiunga mgeishia kujiunga nyie wafanyakazi wa huo mfuko tu!
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa.
 
Niko Tanzania huku nanjilinji naandaa miche ya korosho....napanga kupanda hekari mia mwaka huu .
Katika hii mifuko yote kuna mchango wa lazima ukiwa mwajiriwa na kuna mchango wa hiyari kama akiba yako ya baadae hapa unaweza kuwa mwajiriwa au mkulima kama Mimi ambapo kiwango cha mchango najiamulia kulingana na kipato cha wakati husika.
Sasa unapolaumu mfuko wa jamii mheshimiwa poyoyo mkubwa, umewahi jiuliza how helpful your government is to you by making sure that kuna sheria ya lazima inayomtaka mwajiri wako akuchangie kuanzia asilimia kumi ya mshahara ghafi wako na wewe ukajichagia inayobakia kisha wakakutunzia kwa kipindi chote cha ajira yako uje upewe wakati umepungukiwa nguvu kama Mimi Bibi yako huku nanjilinji?
Unaachiwa asilimia 90 ya kipato chako cha mwezi, kiwango ambacho kiukweli umeshindwa kujitunzia kisha unakuja kuilalamikia hiyo serikali yako.
Hivi ukiambiwa ujitunzie mwenyewe hiyo asilimia kumi utaweza kweli?
Baada ya miaka mitano hadi thelathini ya kukaa kwenye ajira pesa pekee unayoitegemea ni hii unayoilalamikia hapa kwanini unakatwa kwa lazima....tafakari sana.
Ukipewa Uhuru huwezi itunza hiyo asilimia kumi hakika, wacha iendelee kuwa lazima kukatwa itakufaa nyakati kama hizi nilizonazo Mimi Bibi yako nimezeeka nakula hivi vijisenti sasa
Na hii sheria Sisi wazee tulipendekeza kuwa inatufaa maana zile hela ninyi vijana wetu mnatusaidia kutumia tunaishiwa muda mfupi kisha malipo ya mwezi madogo sasa Bora tupewe kiasi Tu maana tukiwa kazini hatukulipwa mihela mingi na tuliweza ishi vizuri Sana au kwa tabu Sana ila tuliishi, sasa Bora kibaki kikubwa tulipwe parefu kwa mwezi tusione gap na tusijeujutia uzee wetu.
Tunajuwa ninyi vijana wetu mna majukumu mengi hamtoweza kutusapoti mahitaji yetu yote uzeeni tutawashosha.



Sisi wazee tuliipendekeza sheria ibadilishwe na tumefurahi sana.
Na nyie muwe mnahudhuria vikao vya hii mifuko mtoe mapendekezo yenu.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa.
Hapa kweli kuna shida yaani dah..
Labda kujipa moyo kuwa kimya kingi kina mshindo mkuu...wanaweza pigwa mafuriko ya nyongeza kama yale ya mwaka 2008 mheshimiwa kikwete alitupiga surprise ya nyongeza kwenye akaunti za wazalendo sie.
 
This is not hard science, ni vitu vya kawaida kuona tu ukaamua. Hakuna haja ya kuwaona hao wote. Sheria imechambuliwa sana na wataalamu, tumewasikiliza hata kama hujasoma sheria mwenyewe. Kuna unyama sana PSSF/SSRA.
Serikali imeshatoa mishahara, wanyama hawa , makatili haya hayajatoa pensheni za wastaafu mwezi huu! Si ajabu pesa hakuna at the moment!
 
Rubbish!
 
Mwezi haujaisha bado, tusiwe wepesi kufikia hitimisho.
 
Mwezi haujaisha bado, tusiwe wepesi kufikia hitimisho.
serikali ambayo imewalipa wafanyakazi mwezi umeisha? This is a special period of the year, peole need money for end of the year holidays!
 
Kuna mdau humu analalamikia kutokuwepo usawa kwenye kikokotoo cha sheria mpya kwamba wale wenye 55yrs na kuendelea(waliokuwa wanachangia kupitia LAPF&PSPF) wataendelea na formula ya zaman kwenye mafao yao! Kuna ukweli mazee?
 
serikali ambayo imewalipa wafanyakazi mwezi umeisha? This is a special period of the year, peole need money for end of the year holidays!
Mzee mwenzangu tutalipwa Tu, tumeshacheleweshwa....hatuna namna
 
Pole mkuu
2020 hakuna vyama vya upinzani mgombe uraisi ni mmoja.
 
Nsimbi, haya yote ni Jiwe. Hawa ni watekelezaji wa amri za Jiwe. The only option available to Tanzanians in all walks of life, is A NEW WAVE OF liberation strugle move! FULL STOP!
Labda
Lakini kwa sasa bado. Wako watu bado Wana Imani nae.
Ngoja sindano iingie.
Ndio inawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…