Pole Sana mtanzania mwenzangu...Kusema wafanyazi wanaichukia NSSF na PSSSF ni understatement! In fact hawa wangekuwa ni watu hai basi wangepigwa risasi, kuchomwa moto au kuwa skinned alive.
Hawa na shangazi yao SSRA ni wauaji, chinjachinja nyonya damu. Hawana tofauti na mauti haki yao ni kutupwa kwenye kaburi la sahau. Nani ana sympathize na PSSSF or NSSF? No body does...
PSSSF ni kizungumkuti. Ati Sheria mpya inaanza rasmi kuuma August 1. Nini fate ya wale walioachishwa kazi before July, 2018 kushuka chini huko? Watu wanasubiri muda mrefu.
Mambo yanayoelezwa hayaingii akilini hata kidogo. The crazy kanuni labla ni applicable elsewhere lakini sio bongo.
Swali kuu ni kwamba why are you tempering with ex-employees' money?!!!! Kwa nini muwapangie maisha yao??!!! SITAKI. Wengi wa wafanyazi mnaowababaisha na hizo lousy kanuni ni malofa. Hawataki kanuni. Wanataka pesa zao zote. Period.
Yaani hata laki moja unawekewa mashati lukuki kuipata. Kwa kweli adui mkubwa kwa watz kwa sasa ni hawa jamaa.
Blabla zinazoendelea sasa zinatia tu kichefuchefu. It is totally ridiculous.
Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.
Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania. Ni unafiki mtupu.
Woe PSSSF na NSSF mnaoendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed PSSSF.
Cursed SSRA.
Mashirika haya ya kinyonyaji imejaa majambazi.
Hivi Serikali ipo? Kweli hii regime haijali wafanyazi ndio maana imeweka such a lousy minister kama Jenister Mhagama + blabla za "Kaa simu Hajaliwa"
What a despicable PSSSF. What a stupid NSSF. What a monstrous SSRA. May Lucifer devour these useless institutions.
Umezisoma sheria zenyewe?Mifuko hii haina dhamira mbaya ila sheria zilizotungwa na wasimamiaji zimejeuzwa na kuwa mwiba
Kwani wastaafu hawalipwi hata hicho kidogo wanachosema?Pesa zinajenga miundombinu kama ulaya nyie wastaafu kufeni njaa tu
Kuna stori moja alinisimulia babu yangu wakati wanafuatilia mafao ya afrika mashariki.
Alinisimulia kuna rafikie alikuwa anageuza njiani kwa kuuliza wamesemaje ukimjibu wamesema mpaka juma nne basi na yeye anageuza njiani badala ya kufika ofisi husika kupokea majibu yanayomhusu yeye.
Mtoa mada kwenye ofisi za umma kila mtu anajibiwa kwa kesi tofauti na sio wote.
Usilete mada jumuishi wakati kila mtu anahudumiwa kivyake.
Nsimbi, haya yote ni Jiwe. Hawa ni watekelezaji wa amri za Jiwe. The only option available to Tanzanians in all walks of life, is A NEW WAVE OF liberation strugle move! FULL STOP!Kusema wafanyazi wanaichukia NSSF na PSSSF ni understatement! In fact hawa wangekuwa ni watu hai basi wangepigwa risasi, kuchomwa moto au kuwa skinned alive.
Hawa na shangazi yao SSRA ni wauaji, chinjachinja nyonya damu. Hawana tofauti na mauti haki yao ni kutupwa kwenye kaburi la sahau. Nani ana sympathize na PSSSF or NSSF? No body does...
PSSSF ni kizungumkuti. Ati Sheria mpya inaanza rasmi kuuma August 1. Nini fate ya wale walioachishwa kazi before July, 2018 kushuka chini huko? Watu wanasubiri muda mrefu.
Mambo yanayoelezwa hayaingii akilini hata kidogo. The crazy kanuni labla ni applicable elsewhere lakini sio bongo.
Swali kuu ni kwamba why are you tempering with ex-employees' money?!!!! Kwa nini muwapangie maisha yao??!!! SITAKI. Wengi wa wafanyazi mnaowababaisha na hizo lousy kanuni ni malofa. Hawataki kanuni. Wanataka pesa zao zote. Period.
Yaani hata laki moja unawekewa mashati lukuki kuipata. Kwa kweli adui mkubwa kwa watz kwa sasa ni hawa jamaa.
Blabla zinazoendelea sasa zinatia tu kichefuchefu. It is totally ridiculous.
Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.
Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania. Ni unafiki mtupu.
Woe PSSSF na NSSF mnaoendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed PSSSF.
Cursed SSRA.
Mashirika haya ya kinyonyaji imejaa majambazi.
Hivi Serikali ipo? Kweli hii regime haijali wafanyazi ndio maana imeweka such a lousy minister kama Jenister Mhagama + blabla za "Kaa simu Hajaliwa"
What a despicable PSSSF. What a stupid NSSF. What a monstrous SSRA. May Lucifer devour these useless institutions.
Pole Sana mtanzania mwenzangu...
Umeipitia vema hiyo sheria yenyewe ukailinganisha na ile ya zamani?
Umepata nafasi ya kutembelea ofisi zao kupata ufafanuzi kidogo wa hiyo sheria mpya na hayo madai ya wale waliopaswa kulipwa kabla ya sheria mpya?
Umepata nafasi ya kuzungumza na wastaafu wa zamani ambao wapo kwenye malipo ya pension baada ya kupata fungu la mkupuo?
Umepata nafasi ya kuzungumza na wastaafu waliokumbwa na sheria mpya?
Mnaishi Tanzania kweli nyinyi? Hivi hamjaona bado mapungufu ya hiyo sheria iliyotungwa? Bora mkae kimya kuliko kuongea upuuziKuna stori moja alinisimulia babu yangu wakati wanafuatilia mafao ya afrika mashariki.
Alinisimulia kuna rafikie alikuwa anageuza njiani kwa kuuliza wamesemaje ukimjibu wamesema mpaka juma nne basi na yeye anageuza njiani badala ya kufika ofisi husika kupokea majibu yanayomhusu yeye.
Mtoa mada kwenye ofisi za umma kila mtu anajibiwa kwa kesi tofauti na sio wote.
Usilete mada jumuishi wakati kila mtu anahudumiwa kivyake.
Nina imani hujaisoma sheria mpya wala ya zamani ili upate kujibu kwa hoja.....Mnaishi Tanzania kweli nyinyi? Hivi hamjaona bado mapungufu ya hiyo sheria iliyotungwa? Bora mkae kimya kuliko kuongea upuuzi
Watanzania wataishia kukutusi tu hapa, hatupendagi kusoma Sisi, ushabiki na kufuata mkumbo bila ushahidi na fact ndio asili yetu.Kuna stori moja alinisimulia babu yangu wakati wanafuatilia mafao ya afrika mashariki.
Alinisimulia kuna rafikie alikuwa anageuza njiani kwa kuuliza wamesemaje ukimjibu wamesema mpaka juma nne basi na yeye anageuza njiani badala ya kufika ofisi husika kupokea majibu yanayomhusu yeye.
Mtoa mada kwenye ofisi za umma kila mtu anajibiwa kwa kesi tofauti na sio wote.
Usilete mada jumuishi wakati kila mtu anahudumiwa kivyake.
Nisome Mara ngapi? Ww uliyeisoma na umeona kuna kitu muhimu sana sisi hatujakiona ni kipi?Nina imani hujaisoma sheria mpya wala ya zamani ili upate kujibu kwa hoja.....
Tafadhali soma mtanzania mwenzangu, muhanga wa haya mambo.
Ilikuwa nianze kumtusi huyo uliyemtetea ila nimeona bora nianze nawe, acha upoyoyo. Sio kusoma bali hata maelezo ya ufafanuzi tumeyafuata kwa Manager wa Kanda. Manager wa kanda ukimuuliza baada ya hayo malipo ya % 33 kwa miezi sita kukoma na kusubiri miezi 18 kipi kinaendelea hajui. Yet unakuja hapa kuongea kama ..........Watanzania wataishia kukutusi tu hapa, hatupendagi kusoma Sisi, ushabiki na kufuata mkumbo bila ushahidi na fact ndio asili yetu.
Hapa wanaochangia ukiuliza wangapi angalau wamepata wasaa kuisoma hiyo sheria na kupata fact kwa wahusika kama wazee hivi kuona uhalisia unaweza ukakimbiwa.