SALAAM. Naomba mwenye ufahamu anijulishe je inachukua muda gani kupata fao la kujitoa PPF baada ya kusubmit documents zote zinazohusika ofisini kwao? asanteni sana.
kama mifuko yote ya jamii inafanana basi haichukui muda coz mi nilienda nssf niliambiwa muda wowote utaratibu ukikamilika so inaweza kuwa siku mbili,wiki 1 na kuendelea it depends,hakuna muda maalum kama zamani ulikuwa unasubiri miezi 3/6..