Ngaramtoni
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 431
- 61
wenzangu mliopigiwa maelezo ya ziada tafadhali,network ilikata na niliporudi mjini nimejaribu kuwatafuta sikuwapata tena.nilienda kijiji Olturumet network mbovu kabisa
me mwenyewe wameniita na nashukuru jamii foram manake alinipigia mdada mmoja hiv na nilikuwa kijiji network ikawa inasumbua wala sikumpata vema hasa kuhusu eneo la tukio hivyo ndo nimerudi nikaona nianzie jamii forum na kweli nimepata mahali pa tukio maelezo ya ziada kwa waliopigiwa isee na je ni oral au ni written?natanguliza shukrani
Pole sana mkuu, najua changamoto za kule Ngara, Mamsa, lemanyata, Losikito, Mwandeti, vumbi lenyewe balaa, vp ulishafanya written wiki iliyopita?
kuna contribution trainee na operational trainee.
kuna contribution trainee na operational trainee.
hapana ndo nimepigiwa leo tu,japo niliapply lakini sijawahi kufanya any interview na wao,wiki iliyopita walifanya written kumbe?au ni kwa post nyngine?au labda wanaita kwa awamu nini
Mie nilipopigiwa simu ile jana,nilimuliza yule mdada km hiyi intrvw itakuwa ni oral au wrtn na documrnts za kubeba. Akanambia kuwa ni wrtn intrvw,niende na kalamu pmj na kitambulisho chenye picha yangu.
NB: Nikumbusheni muda mana nimesahau,nilikuwa nipo high high na kusaka shillingi.
Hata me nimepigiwa leo na mdada anaitwa sophia,interview jumamosi saa nne asubuhi na itakuwa written ni ampitude test na msisahau kwenda na vitambulisho na picha mbili
Hata me nimepigiwa leo na mdada anaitwa sophia,interview jumamosi saa nne asubuhi na itakuwa written ni ampitude test na msisahau kwenda na vitambulisho na picha mbili
nasikia wamebandika majina sijui wapi, hivi hawa nao wana tabia ya kuita watu elfu?
du pole sana, , jipange uende zote kwani muda ni mmoja?