Hilo ni funzo usimdhihaki mpakwa mafuta wa Mungu yeyote yule anayewaongoza watu katika Imani ya kweli awe wa Dini yoyote.
Yaani almanusura tumbadilishe jina kisa mdomo.
Kama ungekuwa umeongea ningesema mdomo mali yako maadam umeandika mikono mali yako.ila sina uhakika sana kama hayo maneno yako yalivyokutoka una guarantee nayo.Pengo utalipakaje mafuta! Eti mpakwa mafuta wa MUNGU!!!! Hivi mnadhani Mungu ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa eeeh!!!!?
Hilo ni funzo usimdhihaki mpakwa mafuta wa Mungu yeyote yule anayewaongoza watu katika Imani ya kweli awe wa Dini yoyote.
Yaani almanusura tumbadilishe jina kisa mdomo.
Mgonjwa kapendeza kama anaenda kurusha kipindi ITV
Hao wote Pengo na Gwajima wote ni wale wale tu,maslahi binafsi,wala msimhusishe Mungu hapo,au kama labda ni miungu mingine unaizungumzia lkn sio Mungu muumbaji.Mungu hadhihakiwi! Kulitumia jina lake kwa maslahi binafsi ni jambo baya sana