Pozi La Mwisho wa Wiki Hili Hapa

Pozi La Mwisho wa Wiki Hili Hapa

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,312
Pozi la wiki ndio hili nililowachagulia wanaJF wenzangu, na pia nawatakia weekend njema.
Bi-Cheka.jpg
 
Huyo ni yule bibi wa tmk ya kina chege, temba na fella
 
Naona bibi anatamani kurudi ujana lakini ndiyo hivyo bwana siku hazigandi!
 
Mbona pale pembeni kushoto kama vile 'Banana' wine?!Duh
 
Huyu bibi CHEKA lazima atakuwa anapata mjani tena wa kutoka A-Town, sio bure, kweli tena!
 
Back
Top Bottom