Powerful Political Cartoons!!!!....weak hearts don't enter

chichi

Member
Joined
Aug 15, 2007
Messages
26
Points
45

chichi

Member
Joined Aug 15, 2007
26 45
Hizi katuni zina mafundisho mengi sana, imenitouch ileile..... Some one got to stop the first bullet.... Jamani wars mpaka lini? Mbona tunaambiwa we are created from one father why killing your brother!!!!!!!!!
 

Koba

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
6,141
Points
1,500

Koba

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
6,141 1,500
Hizi katuni zina mafundisho mengi sana, imenitouch ileile..... Some one got to stop the first bullet.... Jamani wars mpaka lini? Mbona tunaambiwa we are created from one father why killing your brother!!!!!!!!!
...good question!
 

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2007
Messages
3,071
Points
1,195

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2007
3,071 1,195
Hizi ni katuni safi kabisa, hasa ile ya jamaa wa kumbatia pipa la Oil huku akina mama wakilia kwa kufiwa.

Sasa akina Masudi kipanya wanazinyaka vipi na kuziwekea usanii wa kiTZ?

Kweli Ufisadi ni Biashara na chimbuko Kubwa la fedha za Wanasiasa.
 

Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Messages
12,107
Points
2,000

Idimi

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2007
12,107 2,000
Vikaragosi hivi vinatia uchungu sana.
Je wako tayari kuivamia Iran kama wanavyoahidi?
 

Forum statistics

Threads 1,380,585
Members 525,831
Posts 33,774,848
Top