Powerball Jackpot imefikia $1.4 billion.....

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
93,497
119,435
Wadau mlioko USA mnanunua lakini hizo tiketi?

Manake hiyo kitu ukishinda you are set for life.

IRS wakishachukua chao na ukiamua kuchukua lump sum unaweza kuondoka na si chini ya $600,000,000.....

Hiki kiwango ni cha rekodi kwani hata billboards zilikuwa haziko tayari kwa dau kuwa kubwa kiasi hicho.

CYXigCdUkAAOq0X.jpg
 
Nyani Ngabu... Usiponiona humu kipindi basi ujue nimelamba bingo!. Hii kitu watu wanajipanga makazini kwa maelfu, michango ya $100 kila mtu. Ngoja tuisubiri hiyo Jumatano!.
 
Ni jackpot bingo ya huko marekani tiketi moja ni $2 kwaio mshindi ndo anapata hizo $1.4billion wakikata kodi (I.R.S) ndo waweza pata hizo $600,000,000..
 
Ni jackpot bingo ya huko marekani tiketi moja ni $2 kwaio mshindi ndo anapata hizo $1.4billion wakikata kodi (I.R.S) ndo waweza pata hizo $600,000,000..
Aise yaani kodi ni zaidi ya 50% mbna uonevu huo
 
Aise yaani kodi ni zaidi ya 50% mbna uonevu huo

Ukijumlisha federal na state taxes unaweza kujikuta unalipa karibu hata asilimia 60.

Lakini pia kuna majimbo machache ambayo haya state income taxes....ukibahatika kuwa kwenye moja ya hayo majimbo na ndo ukawa mshindi basi walau hutalipa hela nyingi.
 
Mazee huo mtonyo ukiupata utaufanyia nini?
Kabla ya kufanya chochote inabidi utulize akili kidogo. Ni mkwanja mrefu sana huo!. Halafu kuna hapa jamaa wanasema, before anyone rushes to claim the prize, they're going to need a crush course in financial management and a way to weed out scammers, including greedy family members!.
 
Last edited:
Kabla ya kufanya chochote inabidi utulize akili kidogo. Ni mkwanja mrefu sana huo!. Halafu kuna hapa jamaa wanasema, before anyone rushes to claim the prize, they're going to need a crash course in financial management and a way to weed out scammers, including greedy family members!.

Aisee ni kweli kabisa. Kama hutatuliza akili unaweza kujikuta unachanganyikiwa na kuwa mwehu.

BTW, unaangalia championship game?

I say rooooolll tide!!!
 
Hahaaa... Umeuona huo mchuchu!. Watu wanapenda hii michezo ya vyuo, yaani acha kabisa. Angalia uwanja ulivyofurika!.
 
Hahaaa... Umeuona huo mchuchu!. Watu wanapenda hii michezo ya vyuo, yaani acha kabisa. Angalia uwanja ulivyofurika!.

Pro football na college football ni popular kuliko hata basketball.

Kwanza basketball iko nyuma ya hata NASCAR.

Lakini nambari ni pro football.....hii haina ubishi kabisa.

Go PATS.....
 
power_1.jpg

The record-breaking Powerball jackpot continues to climb, hitting $1.5 billion Tuesday ahead of Wednesdays’ drawing, according to the Georgia Lottery.

Players who would take the cash option would win $930 million, before taxes.

Source
 
Haki ya mama wewe jamaa unazeeka vibaya sana.
Usiwashauri wenzako watumie vibaya mishahara yao ya box halafu wakalala njaa.
Kuwa na huruma sometimes.
 
Last edited:
Back
Top Bottom