mxyo16
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 1,243
- 758
Mchezo huu unachezwa kila jumamosi na jumatano, jackpot ya jana jmosi ilikua dola milioni 900 na hakushinda mtu, dau la jumatano ijayo ni dola bilioni 1.3......
Ukishinda unaamua either ulipwe cash lump sum au ulipwe kwa installments ndani ya miaka 29.
Mchezo ni wa staili ya bingo kama ya ITV long time ago kama mnakumbuka, ila hii wanatoa mipira mitano myeupe, na mmoja mwekundu...
Ili ushinde, namba za mipira mitano iliyochaguliwa nilazima zifanane katika tiketi yako bila kujali mpangilio wowote ule ila namba ya sita katika tiketi yako ni lazima ifanane exactly na namba ya mpira mwekundu yani the powerball....
mipira mitano ya mwanzo...
The powerball
Namba za jackpot $900m, jana ni 32, 16, 57, 34, powerball 13
Msikie mzungu alipoulizwa atafanyia nini hizo hela akishinda: Jibu lake ni kununua machangu na cocaine kwa kwenda mbele, nilidhani ngozi nyeusi tu ndio zao hizo
na wazee wamo
Ila inachezwa USA tu, sorry wazee wa kuweka mzigo. ...mngetandika mikeka yenu ya kutosha hapa. Huko kwenyewe majority huwa wana ignore, ila kutokana na hilo dau ....watu kibao wamechangamkia fursa

Last edited: