Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Hujanielewa. Mimi sio Chadema na sijawahi kuwa Chadema, nina akili timamu, siwezi kushabikia kampuni binafsi kwa kuaminishwa ni chama chenye kupigania maslahi ya kila mtu wakati najua priority ya kampuni yoyote ni kulinda maslahi ya wamiliki.wewe ni chadema bakulutu au chadema Lowassa?
Pitia tena post yangu.