"Power struggle'' na visasi vitapoteza wengi ndani ya CHADEMA

Mada yako ni kijinga sana hata mwanangu wa darasa la kwanza, hawezi kufkir ujinga kama wako [HASHTAG]#Tunamtakabenakiwahai[/HASHTAG]
 
mm pia napata mashaka na aina za siasa za chadema...kna matukio ya ajabu kabla ya ben yaliwahusisha viongozi wa cdm kwa kuhisiwa wenyewe ndio wahusika wakuu mf. kifo cha wangwe,,,, na pia kuna matukio yaliwahusisha ccm (hakuna kiongozi aliyehisiwa kuhusika zaidi ya chama) mf. kifo cha kamanda ....kama kamanda ben amepotea kwa sababu za kisiasa natoa 50/50 muhusika anaweza kuwa ccm/cdm....kama ni personal issues sina cha kuongea.....namuombea ben arud mapema akiwa hai atupe ukweli.......naogopa wanasiasa nahisi wengi ni binadamu machoni rohoni ni mafia
 
Hii kauli ya tunamtaka akiwa hai inamaanisha kwamba serikali walikuwa wanatakiwa kujua kila mahali Ben anapokwenda wao ndio wamlinde?
 
Wanakula Raha ulaya
Mwingine ana zurula kama kuku
Eti Beni kapotea hahaha!!
 
Ajizi nyumba ya njaa, wakati baadhi ya watu ndani ya chadema wakifikiri mashambulizi yanatoka nje ni wakati waelewe sasa misuguano ya kimadaraka miongoni mwa 'makamanda' inaendelea na wengi watapotezwa au wakiona mbali waachane na siasa.

Tulio na kumbukumbu tunakumbuka yaliyomtokea Chacha Wangwe (RIP) na yaliyotaka kuwatokea Zitto Kabwe na wenzake na mwaka jana Dr.Slaa ni dhahiri kama wasingeshitukia mchezo mchafu wangepotezwa kwa kigezo kuwa ni 'wasaliti'. Lazima ieleweke sasa ndani ya chadema kuna makundi yanayosuguana,yanapigania 'tonge' na 'ufalme'. Kuna wakuja ambao kimsingi wana ukwasi na wanaona wao ndio wamesababisha ongezeko la wabunge na madiwani na kuna kundi la 'bakulutu' hawa wanaamini jasho lao ndilo limeifikisha chadema ilipo sasa.

Hii ni dhambi,damu zilizopotea bila hatia zinalia,zitalia na wahusika watacharazana bila kujua. Ni wakati wa kama chama wakae chini wajue ya kwamba hila hazifikishi mtu mbali. Umafia huu ndani ya chadema lazima udhibitiwe,kwa nje tunadanganywa kuna maelewano lakini si kweli kuna shida kubwa.
na wewe usisahau kwamba hata Mwangosi ulianza kusema kwamba ameuwawa na kitu kilichotupwa na wafuasi wa chadema lakini uliumbuka ukweli ulipopatikana
 
Buku saba hazijakutosha mtoa mada?mtumwa wa fikira wewe
 
Ajizi nyumba ya njaa, wakati baadhi ya watu ndani ya chadema wakifikiri mashambulizi yanatoka nje ni wakati waelewe sasa misuguano ya kimadaraka miongoni mwa 'makamanda' inaendelea na wengi watapotezwa au wakiona mbali waachane na siasa.

Tulio na kumbukumbu tunakumbuka yaliyomtokea Chacha Wangwe (RIP) na yaliyotaka kuwatokea Zitto Kabwe na wenzake na mwaka jana Dr.Slaa ni dhahiri kama wasingeshitukia mchezo mchafu wangepotezwa kwa kigezo kuwa ni 'wasaliti'. Lazima ieleweke sasa ndani ya chadema kuna makundi yanayosuguana,yanapigania 'tonge' na 'ufalme'. Kuna wakuja ambao kimsingi wana ukwasi na wanaona wao ndio wamesababisha ongezeko la wabunge na madiwani na kuna kundi la 'bakulutu' hawa wanaamini jasho lao ndilo limeifikisha chadema ilipo sasa.

Hii ni dhambi,damu zilizopotea bila hatia zinalia,zitalia na wahusika watacharazana bila kujua. Ni wakati wa kama chama wakae chini wajue ya kwamba hila hazifikishi mtu mbali. Umafia huu ndani ya chadema lazima udhibitiwe,kwa nje tunadanganywa kuna maelewano lakini si kweli kuna shida kubwa.
What a rogue person!! Hata kama ni kazi ya kufanya spinning basi huiwezi. Sijui siku hizi mnafundishwa nini huko.
 
Ndio maana tunaiomba Polisi na vyombo vyote vya dola vitupe majibu ya wapi alipo Ben bila kujali itikadi yeyote
 
Wenzako wanawanga usiku we huoni aibu kuwanga mchana??
 
Back
Top Bottom