"Power struggle'' na visasi vitapoteza wengi ndani ya CHADEMA

"Power struggle'' na visasi vitapoteza wengi ndani ya CHADEMA

Kwenye siasa adui anaweza kutokea ndani au nje.
1.CCM ilinyooshewa kidole kwa kifo cha Kolimba.
2.CHADEMA ilinyooshewa kidole kwa kifo cha Wangwe.
Kwenye mambo kama haya kila taarifa ni ya kufanyia kazi.
 
hayo niyako mkuuu! issue Ben arudi akiwa hai basi!

Hayo ni mawazo ya wenye akili na wenye kuijua siasa. Kama ukiwa mfuatiliaji wa jf utagundua kuwa Ben alishaonywa na kushauriwa atoke front kwani aliyoahidi kuyasema wakati dr Slaa akisepa na hakuyasema ndio itakuwa tiketi yake ya kumuondoa kwenye siasa, kumsogeza karibu na mwenyekiti ilikuwa kumpofusha asishtuke wakati mipango ikielekea kuiva. Tatizo vijana wanaivamia siasa pasipo kujua siasa ni nini? Kama wewe ni mshabiki au mwanachama wa chama chochote cha siasa swali jepesi la kujiuliza ni kuwa mwenyekiti wa chama chako anamtumikia nani? Anapewa maagizo na nani? Unafikiri ni kweli wanachama wa chama chake ndio wampao maagizo? Tafakari
 
Wewe ni mwanaChadema? kama jibu ni hapana, naamini ni sahihi kuwaachia wanachadema wenyewe kuamua kinachowafaa.
 
Watakuelewa badae sana..hiki kizazi cha mihemko ni shida..hii post iwekwe vizuri kwa ajili ya kumbukumbu sahihi..
 
Kumbe wapinzani mnajijua kuwa ni watetea mafisadi?

Safi sana Nyumbu, huo ndio ukweli Mbowe anawachosha tu alishauza chama zamani
 
Ndio akili yako ilipofikia!!
Unge jibu kwa hoja umeonekana wa maana kuliko kuendeshwa na mihemko. Hilo ni swali rahisi sana lakini lenye mantiki kubwa maana watu wamekaa kujibaraguza kwa hoja mfu zisizo na mashiko, labda kuna tusiyoyajua wengine yanayomhusu huyo anaezungumziwa.
 
uso wanyoka wengi watatoweka chadema,kwa kuigiza au vyovyote.
Ndio maana nikahoji uzito wake. Nina maana kuwa, sisi tulio nje ya mfumo unaomfahamu vizuri wala kutambua thamani yake, hatuwezi kuujua uzito wake wala sababu ya yeye kuwa threat kama baadhi ya wanyamapori wanavyospeculate au wanavyoact. Wenye kujua uzito wa Huyo mtajwa ni wao Chadema na hasa viongozi wao.
Nikiwa na maana kuwa, tunayoyafahamu on the surface sisi tulio nje, yamevuja tu, the body of the Iceberg is seen by those deep within the murky waters of Chadema politics.
 
Lowassa ana udhibiti wa 70% mpaka sasa,mpaka uchaguzi wa viongozi wa kanda ukiisha, atakuwa amekidhibiti kwa 80%.
Chadema kitakuwa kwenye makaratasi tu
 
Ajizi nyumba ya njaa, wakati baadhi ya watu ndani ya chadema wakifikiri mashambulizi yanatoka nje ni wakati waelewe sasa misuguano ya kimadaraka miongoni mwa 'makamanda' inaendelea na wengi watapotezwa au wakiona mbali waachane na siasa.

Tulio na kumbukumbu tunakumbuka yaliyomtokea Chacha Wangwe (RIP) na yaliyotaka kuwatokea Zitto Kabwe na wenzake na mwaka jana Dr.Slaa ni dhahiri kama wasingeshitukia mchezo mchafu wangepotezwa kwa kigezo kuwa ni 'wasaliti'. Lazima ieleweke sasa ndani ya chadema kuna makundi yanayosuguana,yanapigania 'tonge' na 'ufalme'. Kuna wakuja ambao kimsingi wana ukwasi na wanaona wao ndio wamesababisha ongezeko la wabunge na madiwani na kuna kundi la 'bakulutu' hawa wanaamini jasho lao ndilo limeifikisha chadema ilipo sasa.

Hii ni dhambi,damu zilizopotea bila hatia zinalia,zitalia na wahusika watacharazana bila kujua. Ni wakati wa kama chama wakae chini wajue ya kwamba hila hazifikishi mtu mbali. Umafia huu ndani ya chadema lazima udhibitiwe,kwa nje tunadanganywa kuna maelewano lakini si kweli kuna shida kubwa.
Wakikuelewa ntarudi kundini
 
Faru John kapoteza mwelekeo!
 
Ndio maana nikahoji uzito wake. Nina maana kuwa, sisi tulio nje ya mfumo unaomfahamu vizuri wala kutambua thamani yake, hatuwezi kuujua uzito wake wala sababu ya yeye kuwa threat kama baadhi ya wanyamapori wanavyospeculate au wanavyoact. Wenye kujua uzito wa Huyo mtajwa ni wao Chadema na hasa viongozi wao.
Nikiwa na maana kuwa, tunayoyafahamu on the surface sisi tulio nje, yamevuja tu, the body of the Iceberg is seen by those deep within the murky waters of Chadema politics.
wewe ni chadema bakulutu au chadema Lowassa?
 
mimi sijasema Ben wewe ndio umemsema,kwanza lazima ieleweke huyu ni mtu mdogo sana.
Ndio ni mtu mdogo na alipata kuwa bwana wako kabla hajakutema na hujafukuzwa chamani. Hivyo chuki zako kwake zinafahamika wazi na kila mtu
 
Back
Top Bottom