Power structure ya North Korea

Huwa nakubali sana chambuzi zako kaka Malcom Lumumba, hususani JI&IF humu. Ulipoondoka nilisononeka, ila tangu urudi imekuwa shule tena baada ya likizo. Pamoja sana mkuu.
 
Duuuh sorry for the inconveniences, nilipoanza kusoma bandiko hili...nikahisi ni wewe kiongozi. Asante kwa maarifa.
 
Hao jamaa wa NK watakubali kweli waongozwe na mwanamke?

Mwanamke ataweza kuchimba biti kama mwanaume?

Sijui suala la sexism likoje huko NK.
Huyu Kim ana Dada yake ambaye ana cheo kikubwa sana katika jeshi nadhani anaweza kuvaa viatu Vya Kaka yake bila shida yoyote kwani wanaelewana sana wawili Hawa pia Kim anamuamini sana huyo Dada yake ndio maana amempa nafasi kubwa tu jeshini
 
Kwani kabla hajashika madaraka ulikuwa unajua nani angekuwa kiongozi
Hapo kuna mtu anaandaliwa kwa siri na unaweza kukuta yuko Ulaya anasoma na hajulikani
Chezea korea kaskazini wewe
 
Kwani kabla hajashika madaraka ulikuwa unajua nani angekuwa kiongozi
Hapo kuna mtu anaandaliwa kwa siri na unaweza kukuta yuko Ulaya anasoma na hajulikani
Chezea korea kaskazini wewe

Kabla baba yake hajafariki ilikuwa inajulikana kuwa huyu wa sasa ndo angemrithi huyo baba yake kwa sababu alikuwa ni mkubwa vya kutosha.

Sasa yeye huyu hana watoto wakubwa wa kuweza kumrithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…