Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
google wanaelekeza jinsi ya kutumia google search kuna vitu vingi wanavifundisha ambavyo vinarahisisha jinsi ya kutumia google kwa urahisi darasa jipya linaanza tarehe 24 septemba the gud thing ni kwamba mwisho huwa wanatoa cheti plz do not lose this oppurtunity tembelea link ifuatayo kwa ajili ya kujisajili
Power Searching with Google
Power Searching with Google