suluta
Senior Member
- Dec 22, 2016
- 115
- 40
Learned brothers and sisters.
Naombeni msaada kwene hili.
Kuna mtu yupo South Africa, anataka kutengeneza power of attorney kwa ajili ya mali zake ambazo zipo tanzania! Na mtu anayetakiwa kupewa iyo power yupo Tanzania.
How do we go about. It's just a spesific power of attorney.
Msaada wasomi