Haha! Hapo kweli kaka ila bisibisi inahusika piaVyuma vinawasaidia kupiga roba "robbery" kitaani...mtu anashindia mihogo anyanyue chuma unafikiri mchezo
Hapo lazma wakuache na boxer mkuu!!Bisibisi [emoji809] panga [emoji809] kisu [emoji809] nondo [emoji809] wembe .....lazima uachie mzigo
Hao ndo wanakufa na roho mkononiZipo hizo swahiba
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]