Power club

Democrasia

Member
Feb 1, 2008
79
3
naomba kama kuna yeyote mwenye uelewa kuhusu POWER CLUB, naona imekuwa maarufu sana hapa Arusha, nimeona niulize kabla sijajiunga,,
 
Kaka, nimesikia na kushawishiwa sana kujiunga na hiyo power club. Pamoja na rafiki zangu wengi kujiunga na kusikia wengine wamejoatia mapesa lakini mimi naona kuna tatizo katika hiyo power club, ipo siku watu wengine watalizwa tu. Si unakumbuka ule upatu wa yule Mganda Kakete?. Siamini juu ya pesa za bure ndugu yangu, naamini lile neno "kwajasho utakula"!
 
Power club nii kama ilivyo kila kitu kina ukomo katika ulimwengu huu. Lakini kwa jinsi ilivyo ni kwamba nimfumo tu wa kuchangiana kwa hiari. Labda hiyo system yao ya kurecord ikiburst basi itakuwa tu kama sunami au mafuriko ya Pakistani
 
Kaka, nimesikia na kushawishiwa sana kujiunga na hiyo power club. Pamoja na rafiki zangu wengi kujiunga na kusikia wengine wamejoatia mapesa lakini mimi naona kuna tatizo katika hiyo power club, ipo siku watu wengine watalizwa tu. Si unakumbuka ule upatu wa yule Mganda Kakete?. Siamini juu ya pesa za bure ndugu yangu, naamini lile neno "kwajasho utakula"!

Ndugu kuwa makini,
Hela/fedha za bure na njia za mkato ni hatari. Nakushauri chunguza kwanza kuna nini nyuma ya pazia. Kama pazia halifunguki kimbia.
 
Malila, Ibra you guys are deep. Lakini mnaweza kuwasaidia wakadizaini vizuri their revolving funds (upatu nadhani), kama alivosema Adam. Naona kuziwia mafuriko na izo tsunami, wafenye innovative changes, katika uendeshaji. Jambo la kwanza ni kuisajili, na kama imekwisha sajiliwa na classified kama biashara gani?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom