Ramadhan Kareem wana jamii. Jana katika kipindi cha Power Breakfast Clouds FM walialikwa reporters wa supersport katika mashindano ya kagame. Kwa wale wenzangu wachache mliopata angalau nafasi ndongo ya kuwasikiliza watangazaji wetu kina Hando na wenzie mnaweza kutathmini kiwango cha ndunguzetu hawa katika kuchambua mabo na kuvunja mayai. It was a comedy by itself. Kumbuka hawa jamaa ndio waliongoza kumponda marehemu kayumba alipoingia bigbrother na yule mama aliyegombea ubunge wa east africa community. Yaani ilikuwa zaidi ya mbaya. Mliosikiliza mwageni zile slang zao hapa tuchangie kuwaweka vizuri. Nawakilisha.