Power breakfast: Anayejua cv's za Watangazaji husika wa Clouds redio

CV siyo issue tena hapa duniani.
Siku izi CV sio ishu labda kwa kazi muhimu kama udaktari na ualimu. Maana uko ndio muhimu sana. Ukikosea umeua Taifa, lakini Taasisi zilizo baki unaingia YouTube na kujifunza, na kufanya shughuli husika
 
Hyo redio n ya wahun cv ztatoka wap
 
Habari

Nataka kujua cv's za hawa watangazaji wa asubuhi maana nawasikia wakionge bila kupanga nini cha kuongea.

nadhani kabla ya kuingia kwenye kipindi lazima wapate angalau wasaa wa kuandaa mfano DW wanaandaa kipindi saa moja au zaidi kabla ya kwenda hewani ndio maana husikii mambo ya kuchukiza kwenye redio.

Nadhani uongozi wa clous upate management nzuri ili kuzuia maneno yanayoudhi kwenye radio kwa wafanyakazi wao.

mtu kama Millard Ayo, anafaa ata kufanya kazi CNN ila hawa wengine nahisi ni cheap labor. kwenye vipind vyao havina mvuto na kuongelea hisia zao, misimamo yao, na upeo wao.

Wanajua kila kitu imani, siasa, hisa, udaktari, upolisi, udereva, sheria, ujasiriamali, uganga, umakenika, ufundi umeme, uinjinia sasa sijui wamesoma shule gani multi purpose

Mbadilike
Kwani umelazimishwa kusikiliza,Tanzania kuna vituo vya redio 900
 
Kuna siku nilikuwa nasikiliza powerbreakfast huyu Babra Hassan akawa anasema tatizo la shinikizo la damu linaitwa pulmonary artery,sasa nikawa najiuliza haya mambo kama hayajui si akae kimya tu awaachie wataalamu wa afya,na huwa anakera sana,anajifanya kila kitu anajua
 
Mkuu wewe unatokea wapi eidha mkanyageni,mchamba wima,matombo,mkunazini,hombolo au kule Kolomije!tuanzie hapo
 
Habari

Nataka kujua cv's za hawa watangazaji wa asubuhi maana nawasikia wakionge bila kupanga nini cha kuongea.

nadhani kabla ya kuingia kwenye kipindi lazima wapate angalau wasaa wa kuandaa mfano DW wanaandaa kipindi saa moja au zaidi kabla ya kwenda hewani ndio maana husikii mambo ya kuchukiza kwenye redio.

Nadhani uongozi wa clous upate management nzuri ili kuzuia maneno yanayoudhi kwenye radio kwa wafanyakazi wao.

mtu kama Millard Ayo, anafaa ata kufanya kazi CNN ila hawa wengine nahisi ni cheap labor. kwenye vipind vyao havina mvuto na kuongelea hisia zao, misimamo yao, na upeo wao.

Wanajua kila kitu imani, siasa, hisa, udaktari, upolisi, udereva, sheria, ujasiriamali, uganga, umakenika, ufundi umeme, uinjinia sasa sijui wamesoma shule gani multi purpose

Mbadilike
Ifike wakati ebu tuache kulalamika.
Kwa wingi wa radio stations hapa Tanganyika, hapakua na haja ya kulalamika kwa utashi wako.
Kama ukijiskia hauitaki mawingu, zima na ufungua radio nyingine kisha usikilize.
Ebu jitahidi kurahisisha maisha yako wewe mwenyewe
 
Siku izi CV sio ishu labda kwa kazi muhimu kama udaktari na ualimu. Maana uko ndio muhimu sana. Ukikosea umeua Taifa, lakini Taasisi zilizo baki unaingia YouTube na kujifunza, na kufanya shughuli husika
Wenzetu walishayaona hayo kitambo, unapewa target usipofikia out.
 
hvi cv ya mkuu wa nchi na mambo yake vinaendana
 
Back
Top Bottom