Power bank yasababisha kifo be careful!!

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
12,441
50,759
Wakuu hatari sana power bank ya kuchajia simu imesababisha mauaji baada ya msichana kupitiwa usingizi uku ikiwa kifuani ....

Watumiaji Wa power bank muwe makini sana na matumizi haya ni hatari..
1484573635384.jpg


News source :bbc
 
Hii habari ina zaidi ya mwaka, Tulishaipata humu na kwenye ma Group ya WhatsApp...Anyway ni reminder tuendelee kuwa makini...
 
vyovyote itakavyo kuwa licha ya kuwa ni hatari pia inakera sana, yaani unakuta mtu muda wote kabeba power bank na simu 2 au 3 wabongo wanaona kama fashion.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom