Povu la shabiki

medsebapol

JF-Expert Member
Jul 16, 2015
327
225
*Mke na mume wamelala kimya kitandani. Kila mmoja yuko kimya.*

Mke anaanza kuwaza
kimoyo moyo;
Hivi huyu mwanaume mbona
haniongeleshi? Au anamfikiria
mwanamke mwingine? Kampata
mwanamke mwingine nini huko
nje? Atakuwa na mpenzi
mwingine nini? Au sina mvuto
tena kwake siku hizi? Au
nimeanza kuzeeka nini?
Inawezekana anataka kuniacha
au? Labda anaona nina sura
mbaya kuliko hicho
kijimwanamke kipya alichokipata.
Au nimenenepa hadi namkera
nini? Au vipodozi vyangu siku
hizi ni kazi bure? Au kakereka kila
siku ninavyonung'uni ka!? Kwa
nini yuko kimya hivi? Anawaza
nini Mungu wangu?
Mke akajikusanya nguvu
akamuuliza: mbona uko kimya
sana? Unawaza nini?

*Kumbe Jamaa anawaza kimoyo moyo*
Miaka yote nimekuwa shabiki wa
Arsenal, namheshimu sana kocha
Arsene Wenger mbali na
mapungufu yake. Daima nilijua ni
mtu mwenye akili lakini bado
sielewi. Hivi ni shetani gani
alimuingia hadi akaamua
Kumbakisha Giroud wakati anajua
kabisa Arsenal tunahitaji straika mwenye akili pale mbele
Why God?! Why?!

*Mume* Mke wangu acha tu Arsenal hii inaninyima furaha

*Mke* Mwee
 
*Mke na mume wamelala kimya kitandani. Kila mmoja yuko kimya.*

Mke anaanza kuwaza
kimoyo moyo;
Hivi huyu mwanaume mbona
haniongeleshi? Au anamfikiria
mwanamke mwingine? Kampata
mwanamke mwingine nini huko
nje? Atakuwa na mpenzi
mwingine nini? Au sina mvuto
tena kwake siku hizi? Au
nimeanza kuzeeka nini?
Inawezekana anataka kuniacha
au? Labda anaona nina sura
mbaya kuliko hicho
kijimwanamke kipya alichokipata.
Au nimenenepa hadi namkera
nini? Au vipodozi vyangu siku
hizi ni kazi bure? Au kakereka kila
siku ninavyonung'uni ka!? Kwa
nini yuko kimya hivi? Anawaza
nini Mungu wangu?
Mke akajikusanya nguvu
akamuuliza: mbona uko kimya
sana? Unawaza nini?

*Kumbe Jamaa anawaza kimoyo moyo*
Miaka yote nimekuwa shabiki wa
Arsenal, namheshimu sana kocha
Arsene Wenger mbali na
mapungufu yake. Daima nilijua ni
mtu mwenye akili lakini bado
sielewi. Hivi ni shetani gani
alimuingia hadi akaamua
Kumbakisha Giroud wakati anajua
kabisa Arsenal tunahitaji straika mwenye akili pale mbele
Why God?! Why?!

*Mume* Mke wangu acha tu Arsenal hii inaninyima furaha

*Mke* Mwee
We sibure kuna kitu umeshadata
 
Back
Top Bottom